BAKWATA na Serikali waseme ukweli sababu ya kusimamishwa shehe wa Mkoa Dar es salaam

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Wanasingizia chanzo ni kukataa mtoto wa nje, kumbe sio. Kwani waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi.

"Ninachoweza kusema ni kweli amesimamishwa naomba niishie hapo", alisema Katibu wa Ulamaa.

Watuambie kwanini dereva wake yupo mahabusu.

Kuna siku siri itawekwa wazi, wataaibika viongozi wastaafu wengi ni aibu kubwa kwa taifa, dini na waislam wote, na mimi ngoja niishie hapa.
 
BAKWATA hajasema sababu , hii ni kutokana na maadili , kingine kama kuna mgogor kapisha ..Unafiki wenu , huyo walid alishachuguliwa na BAKWATA , nashangaa mpaka wanamuziki wanaingilia kati .
 
Wanasingizia chanzo ni kukataa mtoto wa nje, kumbe sio. Kwani waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi.

"Ninachoweza kusema ni kweli amesimamishwa naomba niishie hapo", alisema Katibu wa Ulamaa.

Watuambie kwanini dereva wake yupo mahabusu.

Kuna siku siri itawekwa wazi, wataaibika viongozi wastaafu wengi ni aibu kubwa kwa taifa, dini na waislam wote, na mimi ngoja niishie hapa.
serikali inahusika nini sasa na masuala ya BAKWATA gentleman :pedroP:
 
Jamaa wa dini ya Mnyaaz huwa wana vurugu sana. Kuna wakati walitwangana pale msikiti wa Kigogo.
 
serikali inahusika nini sasa na masuala ya BAKWATA gentleman :pedroP:
Ni mwanzilishi, kama ulikuwa haulijui hilo. Serikali iligharamia gharama zote za kuanzisha Bakwata enzi za Nyerere na Kawawa. Kawawa hakuwa na uwezo wa nafasi aliyopewa lakini aliwekwa ili mizani ikae sawa.
 
Wanasingizia chanzo ni kukataa mtoto wa nje, kumbe sio. Kwani waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi.

"Ninachoweza kusema ni kweli amesimamishwa naomba niishie hapo", alisema Katibu wa Ulamaa.

Watuambie kwanini dereva wake yupo mahabusu.

Kuna siku siri itawekwa wazi, wataaibika viongozi wastaafu wengi ni aibu kubwa kwa taifa, dini na waislam wote, na mimi ngoja niishie hapa.
Ohooooo
 
kwani Nyerere alikua na uwezo wa kwenda UN?
si alisaidiwa na kanisa?

kwahiyo kanisa ni serikali?🐒
 
Kama umeandika huu uzi ukataka tuujadili umekosea sana.

Weka facts kama unazo, ikiwa huna basi omba kwa mods waupeleke uzi jukwaa la ChitChat
 
kwani Nyerere alikua na uwezo wa kwenda UN?
si alisaidiwa na kanisa?

kwahiyo kanisa ni serikali?🐒
Ni kama unaanza kucheza nje ya bit. Kwenye propaganda za majitaka huwa mnasema waisilamu ndio walikomboa hii nchi. Ww saa hii umejisahau unasema Nyerere alipelekwa UN na kanisa. Rudini studio, hapa mnajichoresha.
 
Back
Top Bottom