Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Katiba ya Bakwata inasema ikibainika kwamba kiongozi amezini na mke nje ya ndoa basi afukuzwe kwenye nafasi yake . Shekhe ametoa boko tusimteteeWanasingizia chanzo ni kukataa mtoto wa nje, kumbe sio. Kwani waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi.
"Ninachoweza kusema ni kweli amesimamishwa naomba niishie hapo", alisema Katibu wa Ulamaa.
Watuambie kwanini dereva wake yupo mahabusu.
Kuna siku siri itawekwa wazi, wataaibika viongozi wastaafu wengi ni aibu kubwa kwa taifa, dini na waislam wote, na mimi ngoja niishie hapa.