serikali inahusika nini sasa na masuala ya BAKWATA gentlemanWanasingizia chanzo ni kukataa mtoto wa nje, kumbe sio. Kwani waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi.
"Ninachoweza kusema ni kweli amesimamishwa naomba niishie hapo", alisema Katibu wa Ulamaa.
Watuambie kwanini dereva wake yupo mahabusu.
Kuna siku siri itawekwa wazi, wataaibika viongozi wastaafu wengi ni aibu kubwa kwa taifa, dini na waislam wote, na mimi ngoja niishie hapa.
Wewe huwezi kujua kinachoendelea, elewa tu katelekeza mtoto.serikali inahusika nini sasa na masuala ya BAKWATA gentleman
kwamba wewe ni muerevu na unajua sana gentleman?Wewe huwezi kujua kinachoendelea, elewa tu katelekeza mtoto.
Ungesema najua kuliko nani ingependeza, ina maana wewe hujui kitu chochote.kwamba wewe ni muerevu na unajua sana gentleman?
Ni mwanzilishi, kama ulikuwa haulijui hilo. Serikali iligharamia gharama zote za kuanzisha Bakwata enzi za Nyerere na Kawawa. Kawawa hakuwa na uwezo wa nafasi aliyopewa lakini aliwekwa ili mizani ikae sawa.serikali inahusika nini sasa na masuala ya BAKWATA gentleman
OhoooooWanasingizia chanzo ni kukataa mtoto wa nje, kumbe sio. Kwani waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi.
"Ninachoweza kusema ni kweli amesimamishwa naomba niishie hapo", alisema Katibu wa Ulamaa.
Watuambie kwanini dereva wake yupo mahabusu.
Kuna siku siri itawekwa wazi, wataaibika viongozi wastaafu wengi ni aibu kubwa kwa taifa, dini na waislam wote, na mimi ngoja niishie hapa.
kwani Nyerere alikua na uwezo wa kwenda UN?Ni mwanzilishi, kama ulikuwa haulijui hilo. Serikali iligharamia gharama zote za kuanzisha Bakwata enzi za Nyerere na Kawawa. Kawawa hakuwa na uwezo wa nafasi aliyopewa lakini aliwekwa ili mizani ikae sawa.
Jamaa wa dini ya Mnyaaz huwa wana vurugu sana. Kuna wakati walitwangana pale msikiti wa Kigogo.
Kama umeandika huu uzi ukataka tuujadili umekosea sana.Wanasingizia chanzo ni kukataa mtoto wa nje, kumbe sio. Kwani waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi.
"Ninachoweza kusema ni kweli amesimamishwa naomba niishie hapo", alisema Katibu wa Ulamaa.
Watuambie kwanini dereva wake yupo mahabusu.
Kuna siku siri itawekwa wazi, wataaibika viongozi wastaafu wengi ni aibu kubwa kwa taifa, dini na waislam wote, na mimi ngoja niishie hapa.
Ni kama unaanza kucheza nje ya bit. Kwenye propaganda za majitaka huwa mnasema waisilamu ndio walikomboa hii nchi. Ww saa hii umejisahau unasema Nyerere alipelekwa UN na kanisa. Rudini studio, hapa mnajichoresha.kwani Nyerere alikua na uwezo wa kwenda UN?
si alisaidiwa na kanisa?
kwahiyo kanisa ni serikali?🐒