Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Katiba ya Bakwata inasema ikibainika kwamba kiongozi amezini na mke nje ya ndoa basi afukuzwe kwenye nafasi yake . Shekhe ametoa boko tusimteteeWanasingizia chanzo ni kukataa mtoto wa nje, kumbe sio. Kwani waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi.
"Ninachoweza kusema ni kweli amesimamishwa naomba niishie hapo", alisema Katibu wa Ulamaa.
Watuambie kwanini dereva wake yupo mahabusu.
Kuna siku siri itawekwa wazi, wataaibika viongozi wastaafu wengi ni aibu kubwa kwa taifa, dini na waislam wote, na mimi ngoja niishie hapa.
huna haja ya kusingizia wengine gentleman,Ni kama unaanza kucheza nje ya bit. Kwenye propaganda za majitaka huwa mnasema waisilamu ndio walikomboa hii nchi. Ww saa hii umejisahau unasema Nyerere alipelekwa UN na kanisa. Rudini studio, hapa mnajichoresha.
Kanisa gani lilimsaidia, acha habari za vijiweni.kwani Nyerere alikua na uwezo wa kwenda UN?
si alisaidiwa na kanisa?
kwahiyo kanisa ni serikali?π
jifunzeni mambo haya muhimu na mazito kwa undani gentleman,Kanisa gani lilimsaidia, acha habari za vijiweni.
Jamaa wa dini ya Mnyaaz huwa wana vurugu sana. Kuna wakati walitwangana pale msikiti wa Kigogo.
Uzi umebamiwa tayariserikali inahusika nini sasa na masuala ya BAKWATA gentleman