====Napenda kuanza na historia kidogo ya BAKWATA. Hii iliundwa mara baada ya Nyerere kushinikiza kuvunjwa kwa iliyokuwa East Africa Muslim league. Hii ilikuwa na nguvu sana enzi hizo na Nyerere kwa kuhofia hilo alilazimisha kuvunjwa kwa hiyo na akaunda BAKWATA.
hakika aliweka wana USALAMA akina Adam Nassib, Alhaj Kundya na wengine kwa nia na madhumuni ya kuwadhibiti waislamu
Sasa utaona BAKWATA ipo pale kwa nia na madhumuni ya kudhibiti Uislam na waislamu. Na ni chombo mahsusi cha kiserikali kutimiza azma hiyo.
Sasa ni lazima Serikali ifate hilo na inakataa mabalaza mengine yote kama Istiqama, Baraza kuu la taasisi za Kiislam.
Hiyo ndio reason behind kwa Serikali kuikmbatia BAKWATA wakati waislam wenyewe hawaitambui.
.
Ukitaka kujua chanzo cha kuvunjwa kwa EAMWL ni njama zilianzia Iringa na zilianzishwa na nani soma kitabu kinachoitwa Kanisa katoliki na Siasa za Tanzania kilichoandikwa na Padre Silvano.
Kijitabu hiki kilieleza namna kanisa katoliki adui wake mkubwa ni UISLAMU.( pg 23 para 4).
***** ***** ilianza mara baada ya EAMWL ilipotaka kufungua University ya kwanza Tanzania na uanja walipata pale karibu na Uwanja wa Taifa. fedha za ujenzi kila kitu kilikuwa ready. Nyerere na kanisa kuona hilo waliamua kuunda zengwe kwa kutumia vyombo vya serikali kuvunja umoja huo.
nakushauri ukitaka uhondo huo soma kitabu hicho cha Padre Silvano kisha soma hicho kingine utagundua ukweli
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara ni kwanini serekali imekuwa ikiitambua BAKWATA kama mwakilishi halali wa waislam wote Tanzania wakati wapo waislam wengi wasioitambua au wasiofungamanana na BAKWATA.Yapo madhehebu tofauti tofauti katika dini ya kiislam [Shia,Sunni na nk]kama sikosei BAKWATA imeegemea zaid Sunni sasa ni kwanini Shia nao wasiwe na kiongozi wao [Mufti].
Serekali inatambua katika ukristo yapo madhehebu mbali bali kama vile wakatoliki,walutheri,wasabato,waanglikani,wapentekoste na nk.Mawasiliano baina ya viongozi[maaskofu] wa madhehebu haya na serekali hayana mgankanyiko kama ilivyo kwa waislam.
Naomba kupata ufafanuzi wakina hii hali inasababishwa na serekali au labda madhehebu au taasisi zenyewe za kiislam ndiyo chanzo cha huu mparaganyiko.
Someni kitabu "The Cross Versus The Crescent" alichoandika prof Lawrence Mbogoni. Anaelezea mwanzo wa Bakwata na kufutwa kwa EAMWL. Haikuanzishwa na Nyerere ingawa ilianzishwa chini ya utawala wake.Napenda kuanza na historia kidogo ya BAKWATA. Hii iliundwa mara baada ya Nyerere kushinikiza kuvunjwa kwa iliyokuwa East Africa Muslim league. Hii ilikuwa na nguvu sana enzi hizo na Nyerere kwa kuhofia hilo alilazimisha kuvunjwa kwa hiyo na akaunda BAKWATA.
hakika aliweka wana USALAMA akina Adam Nassib, Alhaj Kundya na wengine kwa nia na madhumuni ya kuwadhibiti waislamu
Sasa utaona BAKWATA ipo pale kwa nia na madhumuni ya kudhibiti Uislam na waislamu. Na ni chombo mahsusi cha kiserikali kutimiza azma hiyo.
Sasa ni lazima Serikali ifate hilo na inakataa mabalaza mengine yote kama Istiqama, Baraza kuu la taasisi za Kiislam.
Hiyo ndio reason behind kwa Serikali kuikmbatia BAKWATA wakati waislam wenyewe hawaitambui.
Kwa nni unazungumza juu ya kuwadhibiti waislamu? wana matatizo gani?Napenda kuanza na historia kidogo ya BAKWATA. Hii iliundwa mara baada ya Nyerere kushinikiza kuvunjwa kwa iliyokuwa East Africa Muslim league. Hii ilikuwa na nguvu sana enzi hizo na Nyerere kwa kuhofia hilo alilazimisha kuvunjwa kwa hiyo na akaunda BAKWATA.
hakika aliweka wana USALAMA akina Adam Nassib, Alhaj Kundya na wengine kwa nia na madhumuni ya kuwadhibiti waislamu
Sasa utaona BAKWATA ipo pale kwa nia na madhumuni ya kudhibiti Uislam na waislamu. Na ni chombo mahsusi cha kiserikali kutimiza azma hiyo.
Sasa ni lazima Serikali ifate hilo na inakataa mabalaza mengine yote kama Istiqama, Baraza kuu la taasisi za Kiislam.
Hiyo ndio reason behind kwa Serikali kuikmbatia BAKWATA wakati waislam wenyewe hawaitambui.
.Someni kitabu "The Cross Versus The Crescent" alichoandika prof Lawrence Mbogoni. Anaelezea mwanzo wa Bakwata na kufutwa kwa EAMWL. Haikuanzishwa na Nyerere ingawa ilianzishwa chini ya utawala wake.
Napenda kuanza na historia kidogo ya BAKWATA. Hii iliundwa mara baada ya Nyerere kushinikiza kuvunjwa kwa iliyokuwa East Africa Muslim league. Hii ilikuwa na nguvu sana enzi hizo na Nyerere kwa kuhofia hilo alilazimisha kuvunjwa kwa hiyo na akaunda BAKWATA.
hakika aliweka wana USALAMA akina Adam Nassib, Alhaj Kundya na wengine kwa nia na madhumuni ya kuwadhibiti waislamu
Sasa utaona BAKWATA ipo pale kwa nia na madhumuni ya kudhibiti Uislam na waislamu. Na ni chombo mahsusi cha kiserikali kutimiza azma hiyo.
Sasa ni lazima Serikali ifate hilo na inakataa mabalaza mengine yote kama Istiqama, Baraza kuu la taasisi za Kiislam.
Hiyo ndio reason behind kwa Serikali kuikmbatia BAKWATA wakati waislam wenyewe hawaitambui.
.Ni haki kabisa kwa serekali ya JMT kuitambua Bakwata kama mwakilishi wa waislamu wote kwasababu mpaka sasa hakuna chama/taasisi ya kiislamu iliyojionyesha kuwa na nguvu kuliko Bakwata.
Taasisi nyingi zimejikita katika maslahi binafsi kwa wanaoziongoza kuliko maslahi ya jamii yote ya waislamu.Bakwata wanaafadhali kidogo ingawa wameshindwa kwa kiasi cha kutisha kuwaunganisha waislamu wote Tanzania.
.Napenda kuanza na historia kidogo ya BAKWATA. Hii iliundwa mara baada ya Nyerere kushinikiza kuvunjwa kwa iliyokuwa East Africa Muslim league. Hii ilikuwa na nguvu sana enzi hizo na Nyerere kwa kuhofia hilo alilazimisha kuvunjwa kwa hiyo na akaunda BAKWATA.
hakika aliweka wana USALAMA akina Adam Nassib, Alhaj Kundya na wengine kwa nia na madhumuni ya kuwadhibiti waislamu
Sasa utaona BAKWATA ipo pale kwa nia na madhumuni ya kudhibiti Uislam na waislamu. Na ni chombo mahsusi cha kiserikali kutimiza azma hiyo.
Sasa ni lazima Serikali ifate hilo na inakataa mabalaza mengine yote kama Istiqama, Baraza kuu la taasisi za Kiislam.
Hiyo ndio reason behind kwa Serikali kuikmbatia BAKWATA wakati waislam wenyewe hawaitambui.
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara ni kwanini serekali imekuwa ikiitambua BAKWATA kama mwakilishi halali wa waislam wote Tanzania wakati wapo waislam wengi wasioitambua au wasiofungamanana na BAKWATA.Yapo madhehebu tofauti tofauti katika dini ya kiislam [Shia,Sunni na nk]kama sikosei BAKWATA imeegemea zaid Sunni sasa ni kwanini Shia nao wasiwe na kiongozi wao [Mufti].
Serekali inatambua katika ukristo yapo madhehebu mbali bali kama vile wakatoliki,walutheri,wasabato,waanglikani,wapentekoste na nk.Mawasiliano baina ya viongozi[maaskofu] wa madhehebu haya na serekali hayana mgankanyiko kama ilivyo kwa waislam.
Naomba kupata ufafanuzi wakina hii hali inasababishwa na serekali au labda madhehebu au taasisi zenyewe za kiislam ndiyo chanzo cha huu mparaganyiko.
.Nimeziona hoja zako lakini bado sijazikubali kwasababu zifuatazo.
[1]Baraza kuu la taasisi za kiislam limefanya maendeleo gani kwa waislamu na jamii ya watanzania kwa ujumla.Ninapozungumzia maendeleo nina maana ujenzi wa mahospitals,shule,vyuo vikuu na mambo yote ya maendeleo kwa jumla.
[2]Baraza kuu la taasisi za kiislamu linavyoonekana liko kwaajili ya kushindana na BAKWATA badala ya kutoa mwongozo kwa waislamu namna ya kujikwamua kiuchumi na kiimani
.
Ni kosa kubwa sana la Kisheria kwa Serikali isiyo na DIni kuwaamulia watu na kulazimisha watu wafate dini fulani.
Serikali imesajili taasisi nyingi sana za kiislam na zote zimesajiliwa bila moja kuwa juu ya nyingine.
Serikali kama inaziona zinakwenda nje ya makubaliano ya usajili wao wana haki kisheria kuzifuta. lakini zote zina haki sawa kisheria.
Sasa serikali kuikumbatia BAKWATA na kuziacha nyingine ni kinyume cha sheria. Waislam wana haki kuishitaki serikali.
.Serekali imesajili taasisi nyingi sana za Kiislam je ni kwanini taasisi zilizopata usajili zimeshindwa kuwaletea maendeleo waislamu ?
.kwa sababu ya kirefu cha bwakwata.......wengine wanajiita shura ya maimamu sasa hapo serikali ifanye nini.......tatizo kwenye uislamu kuna misimamo mingi,kuna wale wenye msimamo vuguvugu,kati na msimamo mkali.......na hawa siku zote panapokuwa na uislamu hapakosi migogoro isiyoisha...........
.
Tueleze pamoja na mali nyingi BAKWATA ilizorithi toka EAMWL. je imefanya maendeleo gani toka ianzishwe kuwafanyia waislamu?
Barubaru,.[/B]
Ukitaka kujua chanzo cha kuvunjwa kwa EAMWL ni njama zilianzia Iringa na zilianzishwa na nani soma kitabu kinachoitwa Kanisa katoliki na Siasa za Tanzania kilichoandikwa na Padre Silvano.
Kijitabu hiki kilieleza namna kanisa katoliki adui wake mkubwa ni UISLAMU.( pg 23 para 4).
***** ***** ilianza mara baada ya EAMWL ilipotaka kufungua University ya kwanza Tanzania na uanja walipata pale karibu na Uwanja wa Taifa. fedha za ujenzi kila kitu kilikuwa ready. Nyerere na kanisa kuona hilo waliamua kuunda zengwe kwa kutumia vyombo vya serikali kuvunja umoja huo.
nakushauri ukitaka uhondo huo soma kitabu hicho cha Padre Silvano kisha soma hicho kingine utagundua ukweli
Sijui serikali imemlazimisha nani kufuata dini gani?.
Ni kosa kubwa sana la Kisheria kwa Serikali isiyo na DIni kuwaamulia watu na kulazimisha watu wafate dini fulani.
Serikali imesajili taasisi nyingi sana za kiislam na zote zimesajiliwa bila moja kuwa juu ya nyingine.
Serikali kama inaziona zinakwenda nje ya makubaliano ya usajili wao wana haki kisheria kuzifuta. lakini zote zina haki sawa kisheria.
Sasa serikali kuikumbatia BAKWATA na kuziacha nyingine ni kinyume cha sheria. Waislam wana haki kuishitaki serikali.
Tofautisha kati ya madhehebu na vyombo vilivyoundwa kuwakilisha madhehebu hayo. Madhehebu ya Kikristo yako mengi kama yalivyo pengine hata ya Kiislamu. Lakini katika wingi wa madhehebu ya Kikristo kuna vyombo ambavyo vimeundwa. Kuna TEC (TAnzania Episcopal Conference = wakatoliki) na CCT (the Council of Churches of Tanzania)..
nafikiri hapa ndio mimi na wewe tujiulize kwanini Serikali ya Tanzania inaikumbatia BAKWATA pekee wakati wengine wapo?
Kuna siri gani kati ya Bakwata na Serikali ya Tanzania? na Serikali na waislamu?
.
hata Ukristo kuna Ukatoliki, Lutheran, SDA, Anglican , etc. sasa Ni wajibu wa Serikali kuzitambua zote hizo japo wote ni wakristo.
Barubaru,
Bahati nzuri ninavyo vyote. Ni Padre Sivalon na si Silvano. Na page uliyoitaja, page 23 ina paragraf 2 tu, paragraf ya kwanza anazungumzia uhusiano maalum baina ya viongozi wa Kanisa Katoliki na viongozi wa Chama na serikali. Para ya 2 anazungumzia lengo la utume wa kijamii wa Kanisa Katoliki kuanzia 1953-1966 ambao ulikuwa ni "kulinda nafasi ya Kanisa katika jamii kwa ujumla kwa kupinga kuenea kwa falsafa ya Marx hapa Tanzania...... na kuhami nafasi ya kanisa katika kupinga kuenea kwa dini ya Kiislamu." Lakini kilichopelekea Nyerere kupiga marufuku EAMWL ni kujihusisha kwa kundi hilo katika siasa za Tanganyika na njama za kumwondoa Nyerere kwenye uongozi wa TANU. Tena waliomtonya Nyerere walikuwa ni viongozi wa Kiislamu ambao kwao uzalendo ulikuja kwanza.