BAKWATA SAA ZINGINE WANATIA AIBU MPAKA BASI . Inamaana suratul hujurat aya ya 6 hamuijui???

BAKWATA SAA ZINGINE WANATIA AIBU MPAKA BASI . Inamaana suratul hujurat aya ya 6 hamuijui???

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,104
Reaction score
4,090
Kufuatia suala la sheikh Walid km kawaida yao wamekurupuka km wanavyokurupuka kwenye muandamo wa mwezi
Huenda ni maelekezo kutoka juu ila suala la siasa life nguvu kwa muda

Haya Allah tabaraka wataala anasema katika verse no.6 katika suratul hujurat kama ifuatavyo

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن جَاءَكُمْ فَاسِقٌ بِنَبَإٍ فَتَبَيَّنُوا أَن تُصِيبُوا قَوْمًا بِجَهَالَةٍ فَتُصْبِحُوا عَلَىٰ مَا فَعَلْتُمْ نَادِمِينَ(6)

Enyi mlio amini! Akikujieni mpotovu na khabari yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye kujuta kwa mliyo yatenda.

Kwani bakwata mna matatizo gani au kisa mnachaguliwa na chauma ????

Haya mwisho wa siku kama huyo dada alitengenezwa na watesi ili sheikh Walid asikalie hicho kiti???
 
Wanakuwaga na fast response time kwenye masuala yanayohusu maslahi yao tu.
 
Sasa pale juu kuna watu wa Tanga na wadengereko unategemea nini?
Kama kuna kitu Waislam kinatufelisha ni kuwa na BAKWATA tena hiyo ya mizee ya pwani....
Ubwabwa na kanzu kwao wanakusaliti mapema sana..
 
Back
Top Bottom