johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bakwata imetoa taarifa kwamba sikukuu ya Eid itakuwa ama siku ya Jumapili tarehe 24 may au siku ya Jumatatu tarehe 25 may kutegemea na mwandamo wa mwezi.
Taarifa imesema ili kuepuka misongamano hapatakuwepo Swala ya Eid kitaifa na kila mtu atapaswa kuswali katika eneo la kwao.
Kadhalika hapatakuwepo Baraza la Eid kwa sababu hizo hizo.
Source Ayo tv
Ramadan kareem!