Bakwata: Sikukuu ya Eid itakuwa tarehe 24 au 25 May, 2020 kutegemea mwandamo wa mwezi, hakutakuwa na Swala ya kitaifa wala Baraza

Bakwata: Sikukuu ya Eid itakuwa tarehe 24 au 25 May, 2020 kutegemea mwandamo wa mwezi, hakutakuwa na Swala ya kitaifa wala Baraza

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Bakwata imetoa taarifa kwamba sikukuu ya Eid itakuwa ama siku ya Jumapili tarehe 24 may au siku ya Jumatatu tarehe 25 may kutegemea na mwandamo wa mwezi.

Taarifa imesema ili kuepuka misongamano hapatakuwepo Swala ya Eid kitaifa na kila mtu atapaswa kuswali katika eneo la kwao.
Kadhalika hapatakuwepo Baraza la Eid kwa sababu hizo hizo.

Source Ayo tv

Ramadan kareem!
 
Wiki hii tunafungua shule na vyuo nyie mnaleta za kuleta eti hakuna swala ya Idd! Tutakuja tuone mtufukuze!
 
Ikiangukia jumatatu "wikiend ndefu"
 
Wametambua kuitukana, kuibagaza, kuikemea, kutangaza haipo - hukuondoi uwepo wa corona wala maambukizi!

Kama jambo hili ni la kweli - ni la kupongeza!! Tuendelee kukwepa mikusanyiko ya watu hasa pale ambapo status ya maambukizi haijulikani.
 
Back
Top Bottom