AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mfano wewe ukiwa ni kiongozi, utakapokuwa umekosea ungependa raia wako wakukosoe kwa namna gani.
Wasimame tu barabarani na kuanza kupayuka, kwa kuwa wanajua utasikia ilhali wanakuvunjia heshima, au wakufuate faragha na kukueleza makosa yako?
Tatizo sio kuwasema tatizo pahali gani anapowasemea.
Acha utoto weeh mbuzi katoliki ebho 🙄Sasa mimi na wewe nani anampangia mwenzie cha kufanya?
Yaani unataka nikomenti unavyotaka wewe.
Tumia akili kunipinga, sio nguvu.Acha utoto weeh mbuzi katoliki ebho [emoji849]
Hizi nasaha zako zingekuwa ni nzuri laiti kama ungelizifikisha mahali husika na sio kuja kulaumu mtandaoni.
Kwa BAKWATA hizi ni nasaha zako kwao, na kwa sisi wengine utatufanya tuzidi kuwaona wapigaji tu, kama ulivyosema.
Au ulitaka tujifunze nini kwa haya uliyoyasema?
Thubutu!!!Nashukuru Mungu maaskofu wetu wanajitambua na hawatumiki
allah mueza wa yote aliumba kiumbe dhaifu?ALLAH HAKUMTAJA MWANAMKE KUWA NI DHAIFU ILI TUMFUNGULIE MLANGO WA KUDHULUMIWA...
ALLAH AMEMTAJA HIVYO ILI AFANYIWE UADILIFU NA ASHIKILIWE KWA UPOLE NA UNYENYEKEVU. ..
Una uhakika??Kweli kabisa maana Gwajima, Kakobe na wengine wa mfano huo wako vizuri sana
Hata mimi najiuliza kama unavojiuliza wewe, kuna faida gani ya kuhangaika na hii mada wakati kina mada nyingi tu humu?Wewe ndiye unaona hana sehemu nyingine ya kulalamikia ila hapa.
Je unauhakika kuwa hao wahusika wapo humu? na kama unauhakika kwa nini asiwa PM ili ujumbe uwafikie.
Nauliza tena kunafaida gani ya yeye kutuambia haya aliyosema, zaidi ya kutufanya kuzidi kuwaona wapigaji?
Hebu soma comments za wadau ujionee.