Bakwata uislaam huo mmeutoa wapi? Kumbukeni moto ni mkali sana mtaenda chomwa

Hammaz naomba usibadili mwelekeo wa mada ya msingi.. . Fungua uzi wa namna ya kufanya da'awa... Tutakuja kudiscuss huko hayo unayoyaongea. ..
 

Kwa namna chombo chenyewe kile kinavyoendeshwa kwa faida ya watu wa wachache, nafkiri mtoa mada kafanya sawa sawa kusemea hapa mana hakuna mahala pengine pakupazia sauti na ikafika.
 
Hapa ndio sehemu yake kila mtu atasoma atajua ubaya wao hata wao mufti na serikali watasoma humu humu jf
 
Aliekuambia Bakwata ni waislamu ni nani???hicho ni kitengo cha kikatoliki na serikali kinatumika kiutawala dhidi ya waislam halisi!!
 
a
ALLAH HAKUMTAJA MWANAMKE KUWA NI DHAIFU ILI TUMFUNGULIE MLANGO WA KUDHULUMIWA...

ALLAH AMEMTAJA HIVYO ILI AFANYIWE UADILIFU NA ASHIKILIWE KWA UPOLE NA UNYENYEKEVU. ..
allah mueza wa yote aliumba kiumbe dhaifu?

mtake radhi bhana umemkosea sana mnyazi mungu.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Unataka kumpa mkeo talaka (halafu Yuko mashallah mswambwanda hivi) usimpeleke Huko

Kuna mafisi hatari yaani watakushupalia kwa vifungu umuache fasta halafu ijumaa ijayo wanamtia udhu saafi[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi najiuliza kama unavojiuliza wewe, kuna faida gani ya kuhangaika na hii mada wakati kina mada nyingi tu humu?
 
N.a. hili la ukabila pale makao makuu lipoje? Pia naskia Mufti kuna mikoa anaogopa kutembelea?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…