BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

Wanatakiwa waandamane kupinga yaliyo kwenye katiba na sheria za nchi na bado yanavunjwa ama hayatekelezeki. Huwezi kuandamana kupinga negativity yenye haipo ni bora uandamane kuhitaji positivity yenye haipo let's say katiba mpya nk nk
Ndiooo
 
kwanini tatizo LA ushoga lipo na mbinu gani endelevu za kuzuia ushoga. Identify the problems and the sustainable solutions. Siyo kuzuia watu wanatoa hoja zao kutetea hoja za kujamiiana au kutojamiajiana Kwa jinsia Moja. Kupiga kelele au kuandamana haisaidii kama huna mkakati wa kutatua tatizo. . Je tatizo la kuongezeka Kwa mapenzi ya jinsia Moja ni nini. Wanataaluma saidia hii
 
Sahihi kabisa
Wanatakiwa waandamane kupinga yaliyo kwenye katiba na sheria za nchi na bado yanavunjwa ama hayatekelezeki. Huwezi kuandamana kupinga negativity yenye haipo ni bora uandamane kuhitaji positivity yenye haipo let's say katiba mpya nk nk
 
Nawashangaa watanzani sana, wengi ni kupinga ushoga kwenye key board. Sijawahi ona watu wakiandamana hata siku moja wanawaachia viongozi wa dini peke yao. Anza kwa bango hata mtaani kwako au weka bango kwenye gari yako etc. Unadhani hapa JF watakusikia hao mashoga? Humu ndani shoga anaweza kupinga ushoga ilihali yeye ni shoga. Watanzania kazi yetu ni kulalamika tu wala hatuchukuagi hatua.
 
View attachment 2539078

Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji.
---

Pia soma
- BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali wanawake wa kuolewa wapo

View attachment 2539048

View attachment 2539068

View attachment 2539077
Baraza kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata ) Mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji.

Aidha Bakwata Mkoa wa Mwanza, wamesema wamepokea na kuunga mkono hotuba ya Mheshimiwa Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Dkt, Abubakari Zuber Bin Ally juu ya kupinga na kukemea vikali matendo yote haramu

Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke ameishukuru Serikali kwa umakini wake wa kuchukua hatua za haraka pale tu inapobaini kuwepo na ulazima wa kupiga marufuku kuendelea kutumika kwa vitabu visivyo faa katika shule zetu nchini

Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Alhaji Nuhu Jabir Mruma amelipongeza Baraza Kuu la Waislam Mkoa wa Mwanza kwa kuunga mkono hotuba ya Mheshimiwa Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt, Abubakar Zuber Bin Ally juu ya kupinga na kukemea vikali viendo vyote haramu.

Mzawa
Huku ya mashoga na mabasha na makahaba iko wezi kwenye qur,aan bakwata wanashindwa kutekeleza hukumu hiyo matokeo yake wanaingia barabalani kujichosha bora yangu mimi nia chukia vitengo hivio
 
Back
Top Bottom