Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Tangu dunia iumbwe leo Bakwata ndiyo wamefanya jambo la maana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kule hakuna kuandamana maandamano ya kijinga
Maandamano yameisha ushoga unaendelea.
Hii ni sawa na kuzuia mafuriko kwa nyavu.
Nasubiri na upande wa pili kama wataandamana
Hawana muda huo,wana vitu vingi vya msingi vya kufanya,pia kufanya hivyo ni kujidharirisha kuona kuwa dini imefeli kufanya kazi yake ipasavyo.
Acha watoe na kupaza sauti, shetani mtoto weweWanazuga tu waonekane wanapinga. Approach wanayoitumia ni dhaifu, haina tofauti na NGs zingine. Wamejishushia hadhi, wakristo wasijaribu kuiga maandamano kama haya hawataeleweka wanapinga nini wakati biblia imepinga mambo hayo waziwazi.
Itakuwa ni uzembe wao kuhubiri ukweli uliobainishwa na biblia. Mambo mengine waachieni wanasiasa wapambane nayo na siyo wanasiasa kuwatupia mzigo uliowashinda kwa kukosa mbinu za kupambana nazo.
Hayo mambo ni dhambi, ni uzembe wa dini kuhubiri, wanasubiri wanasiasa wawakurupushe ndio wajitokeze kupinga? Ni unafiki mtupu
bibie povu la nini?Acha watoe na kupaza sauti, shetani mtoto wewe
Kwahiyo unamaanisha uislamu umefeli?[emoji16] aise kuna watu limewakwaza sana suala hili kana kwamba waendelee na uchafu wao,,,
Acha watoe na kupaza sauti, shetani mtoto wewe
Kwa mfano wewe kama baba wa familia ukianza kwenda kwa majirani kusema mwanao anatabia mbaya,je unadhani majirani watakuona vipi kama sio kukuona wewe ni mzazi uliyefeli kulea mtoto wako,hicho ndicho hao bakwata walichokifanya.
Kama upo katika huu ujinga acha kabisa ndugu
ili serikali ishtuke kutoka usingizini.
Wewe ni nani wa kumpangia mwenzio?
Big up kwa waislamu Tanzania[emoji3060][emoji322][emoji1376]Haya maandano ilipaswa na madhehebu mengine kuyaunga mkongo ili serikali ishtuke kutoka usingizini.
Mimi ni Mgalatia ila kwa hili WAPO SAHIHI.
Hatutaki Was*eng*e kwenye jamii.
Acha watu watumie vinyeo vyao jinsi wanavyotaka.Kwahiyo unapoona mwenzio amefika huko nisimnasihi!! Japo sina hakika kama tuna shoga humu