BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

Hawana muda huo,wana vitu vingi vya msingi vya kufanya,pia kufanya hivyo ni kujidharirisha kuona kuwa dini imefeli kufanya kazi yake ipasavyo.

Kwahiyo unamaanisha uislamu umefeli?😁 aise kuna watu limewakwaza sana suala hili kana kwamba waendelee na uchafu wao,,,
 
Wanazuga tu waonekane wanapinga. Approach wanayoitumia ni dhaifu, haina tofauti na NGs zingine. Wamejishushia hadhi, wakristo wasijaribu kuiga maandamano kama haya hawataeleweka wanapinga nini wakati biblia imepinga mambo hayo waziwazi.

Itakuwa ni uzembe wao kuhubiri ukweli uliobainishwa na biblia. Mambo mengine waachieni wanasiasa wapambane nayo na siyo wanasiasa kuwatupia mzigo uliowashinda kwa kukosa mbinu za kupambana nazo.

Hayo mambo ni dhambi, ni uzembe wa dini kuhubiri, wanasubiri wanasiasa wawakurupushe ndio wajitokeze kupinga? Ni unafiki mtupu
Acha watoe na kupaza sauti, shetani mtoto wewe
 
Kwahiyo unamaanisha uislamu umefeli?[emoji16] aise kuna watu limewakwaza sana suala hili kana kwamba waendelee na uchafu wao,,,

Kwa mfano wewe kama baba wa familia ukianza kwenda kwa majirani kusema mwanao anatabia mbaya,je unadhani majirani watakuona vipi kama sio kukuona wewe ni mzazi uliyefeli kulea mtoto wako,hicho ndicho hao bakwata walichokifanya.
 
Acha watoe na kupaza sauti, shetani mtoto wewe

Hiyo sauti huko madrasa,misikitini na kwenye dua imeshindwa kusikika hadi watoke mabarabarani kuipaza? Wamekurupuka na zaidi hawana kazi za kufanya.

Cha kuaikitisha zaidi maandamano yaliisha ila ushoga haujaisha na unaendelea kushika kasi.
 
Kwa mfano wewe kama baba wa familia ukianza kwenda kwa majirani kusema mwanao anatabia mbaya,je unadhani majirani watakuona vipi kama sio kukuona wewe ni mzazi uliyefeli kulea mtoto wako,hicho ndicho hao bakwata walichokifanya.

Kwani waislamu wamemtaja mtu anatabia za kishoga!!mbona chadema walikua wanaandamana miaka ya nyuma!! Huko kwa ndugu zenu marekani hawakuwa wakiandamana kuuawa kwa mwafrika! Ila la ushoga ndio limekua tatizo!!
 
Big up kwa waislamu Tanzania[emoji3060][emoji322][emoji1376]Haya maandano ilipaswa na madhehebu mengine kuyaunga mkongo ili serikali ishtuke kutoka usingizini.
 
Mimi ni Mgalatia ila kwa hili WAPO SAHIHI.

Hatutaki Was*eng*e kwenye jamii.
 
Big up kwa waislamu Tanzania[emoji3060][emoji322][emoji1376]Haya maandano ilipaswa na madhehebu mengine kuyaunga mkongo ili serikali ishtuke kutoka usingizini.

Hao jamaa njaa kali ukiona hivyo ujue wanataka waongezewe posho watulie,
 
Mimi ni Mgalatia ila kwa hili WAPO SAHIHI.

Hatutaki Was*eng*e kwenye jamii.

Hakuna anayetaka ushoga ila approach waliyoitumia niya kijinga sana,na ukiangalia mabango yao utajua ushoga ni sehemu ndogo ya shinikizo la wao kuandamana.
 
Back
Top Bottom