BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Naogopa virungu vya polisiWewe tangulia wewe si ni muislamu Safi wewe, unapinga ushoga kwa dhati haya tangulia ukang'oe zile bendera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naogopa virungu vya polisiWewe tangulia wewe si ni muislamu Safi wewe, unapinga ushoga kwa dhati haya tangulia ukang'oe zile bendera
Wale wa Zenjibar au? Kuna mwenzio huko Geita alilewa akaingia Kanisani akaenda kumvunja Yesu Sanamu mguu nusu ampasue kichwaNaogopa virungu vya polisi
I kristo hawakosi kulalama! Endeleeni kusapoti ushogaWanazuga tu waonekane wanapinga. Approach wanayoitumia ni dhaifu, haina tofauti na NGs zingine. Wamejishushia hadhi, wakristo wasijaribu kuiga maandamano kama haya hawataeleweka wanapinga nini wakati biblia imepinga mambo hayo waziwazi.
Itakuwa ni uzembe wao kuhubiri ukweli uliobainishwa na biblia. Mambo mengine waachieni wanasiasa wapambane nayo na siyo wanasiasa kuwatupia mzigo uliowashinda kwa kukosa mbinu za kupambana nazo.
Hayo mambo ni dhambi, ni uzembe wa dini kuhubiri, wanasubiri wanasiasa wawakurupushe ndio wajitokeze kupinga? Ni unafiki mtupu
Wakatoliki wao ushoga ni Pete na kidoleView attachment 2539078
Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji.
---
Pia soma
- BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali wanawake wa kuolewa wapo
View attachment 2539048
View attachment 2539068
View attachment 2539077
Baraza kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata ) Mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji.
Aidha Bakwata Mkoa wa Mwanza, wamesema wamepokea na kuunga mkono hotuba ya Mheshimiwa Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Dkt, Abubakari Zuber Bin Ally juu ya kupinga na kukemea vikali matendo yote haramu
Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke ameishukuru Serikali kwa umakini wake wa kuchukua hatua za haraka pale tu inapobaini kuwepo na ulazima wa kupiga marufuku kuendelea kutumika kwa vitabu visivyo faa katika shule zetu nchini
Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Alhaji Nuhu Jabir Mruma amelipongeza Baraza Kuu la Waislam Mkoa wa Mwanza kwa kuunga mkono hotuba ya Mheshimiwa Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt, Abubakar Zuber Bin Ally juu ya kupinga na kukemea vikali viendo vyote haramu.
Mzawa
Wakristo nidiyo namba moja wanaosapoti ushogaWakristo mbona tupo kimya sana? Wenzetu wameanzisha na sisi tuwaunge mkono. Kataa mapenzi ya jinsia moja utaenda kumwambia nini muumba wako siku ukifa?😡😡😡😡😡
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale wa Zenjibar au? Kuna mwenzio huko Geita alilewa akaingia Kanisani akaenda kumvunja Yesu Sanamu mguu nusu ampasue kichwa
Unajua maana ya kustaarabika? Au unakurupuka hovyo tu kama chafya?hamezi mtu tofali. Mnakurupuka sana, kwani nyie na hao wanao impose ushoga duniani ni nani amestaarabika? Nchi zinazounga mkono ushoga ndizo zimestaarabika kuliko nyie.
Wewe ni upinde? Naona unawatetea kwa nguvu zote!mtaweza wapi nyie? Tulieni tu huu muziki kwa nyie hamtauweza. Tena mnakosea sana approach ya kupinga. Bora mgebaki huko ndani ya majumba yenu ya kuabudia mpinge huko. Huku nje mashoga wanawachora tu
kamwe ukristo hausapoti ushoga, hao wanaunga mkono ushoga ni watu ni jamii ya wanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja ambao kimsingi si wakristoWakr
I kristo hawakosi kulalama! Endeleeni kusapoti ushoga
Umeelewa vibaya alichokizungumza.ila kudai ya kwamba Magufuli ni zaidi ya mtume mohamed na Mungu ni sawa!🐒🐒🐒
View attachment 2539694
Mimi napinga ushoga, napinga maandamano piaBaraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji
Kichwa Cha chini hakinaga adabu, ni marufuku kugusishwa wezere ya yeyote yule, hata tuu kushea kitanda haitakiwi, kidogo tuu kishaamka.Na wewe huwezi nipangia kipi cha kukoment kama umeona haifai pita hiviii
Mnajifanya kupiga huku nyie Ndio mnawachakata mashoga kwa siri anzeni na nyie kuwaacha kuwachakata watakosa soko tatizo sio mashoga tatzoo ni nyie mnaowafira
ukristo unaingiaje hapo? Kuwa huru kujadili hoja, acha kuegemea dini yako, simama kwa akili zakoWakr
I kristo hawakosi kulalama! Endeleeni kusapoti ushoga
nitawatetea utu wao, kamwe sitatetea matendo yao. Wana haki ya kuthaminiwa kama binadamu wa kawaida ila ushoga wao haukubalikiWewe ni upinde? Naona unawatetea kwa nguvu zote!
Hujielewi wewe wala huelewi hata unachokisimamia,nitawatetea utu wao, kamwe sitatetea matendo yao. Wana haki ya kuthaminiwa kama binadamu wa kawaida ila ushoga wao haukubaliki
Jambo zuriView attachment 2539078