Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Kwanini unawapinga wanaoupiga vita ushoga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu ana maono yake ya kuona ni lipi la muhimu, kama wewe umeona kuna mengine ya muhimu basi shughulika nayo ndio mgawanyo wa majukumu huo.Ila mambo ya muhimu hawana habari nayo
Kwa hiyo mafundisho na mahubiri huko makanisani huwa hauyafuatilii?Wakristo mbona tupo kimya sana? Wenzetu wameanzisha na sisi tuwaunge mkono. Kataa mapenzi ya jinsia moja utaenda kumwambia nini muumba wako siku ukifa?😡😡😡😡😡
Hao na wale wanazini bila ya ndoa wanafanana kabisa ....Sawa na kuwapinga vijana wa kataa ndoa 😂😂😂Maana ndo wateja wakubwaKwanini wanaojiuza au Malaya hawapigwi marufuku
Agosti 2014 wakati ni Mchungaji wa kawaida, Mwamakula aliwaongoza Wachungaji 14 kutoa msimamo kupinga ushoga kufuatia Sinodi ya Jimbo la Amerika Kaskazini Kanisa la Moravian kupitisha maamuzi ya kuwabariki mashoga na wasagaji katika madaraja ya Uchungaji na Uaskofu. Tamko lile lilisainiwa na Mwamakula na lilikaa muda mrefu katika tovuti ya Wizara ya Mambo ya Ndani wakati huo Matthias Chikawe akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani.Wakristo mbona tupo kimya sana? Wenzetu wameanzisha na sisi tuwaunge mkono. Kataa mapenzi ya jinsia moja utaenda kumwambia nini muumba wako siku ukifa?😡😡😡😡😡
Tunapinga uku tukiwa tumejifungia ndani? Tunaogopa nini tutoke hadharani, dunia yote ijue kuwa Watanzania hawaungi mko huu ushetani.Kwa hiyo mafundisho na mahubiri huko makanisani huwa hauyafuatilii?
Askofu Thaddeus Yuda Ruwaich alipoongea juzi hukumuelewa hadi abebe bango?
Inawezekana sasa hivi mashoga wanaonekana sana, lakini ni wakati wa Magufuli ndipo Mashoga walifanikiwa zaidi kujenga mizizi ndani ya nchi na kufanikiwa kuwa kikundi taasisi ambacho chenyewe na maslahi yao havigusiki.Agosti 2014 wakati ni Mchungaji wa kawaida, Mwamakula aliwaongoza Wachungaji 14 kutoa msimamo kupinga ushoga kufuatia Sinodi ya Jimbo la Amerika Kaskazini Kanisa la Moravian kupitisha maamuzi ya kuwabariki mashoga na wasagaji katika madaraja ya Uchungaji na Uaskofu. Tamko lile lilisainiwa na Mwamakula na lilikaa muda mrefu katika tovuti ya Wizara ya Mambo ya Ndani wakati huo Matthias Chikawe akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani.
Baada ya Awamu ya Tano kuingia madarakani, tamko lile likaondolewa katika tovuti ya Wizara. Hatujui sababu ya kuliondoa, lakini hicho ndio kipindi marafiki wa viongozi wa Kanisa hilo la Moravian la Marekani walikuwa karibu sana na Utawala wa Awamu ya Tano. Baada ya tamko lile Mwamakula alihojiwa na BBC na baadaye alianza kuwindwa kama suala au paa!
Watu walio karibu na baadhi ya watawala katika Awamu ya Tano walitumia mitandao ya kijamii kupotosha kuwa Askofu Mwamakula anaunga mkono ushoga. Baadhi ya watu hao wangalipo hadi leo. Mkiendelea sana kupotosha, Askofu anaweza kuanika mengi zaidi. Msimfikishe huko! Kama hakuogopa kutembea wakati wa giza totoro ataogopaje kutembea wakati wa mbalamwezi?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Makanisani ni kujifungia ndani? Kwani yakihubiriwa makanisani hubaki kuwa siri isiyotakiwa kutoka nje?Tunapinga uku tukiwa tumejifungia ndani? Tunaogopa nini tutoke hadharani, dunia yote ijue kuwa Watanzania hawaungi mko huu ushetani.
Kila mtu ana maono yake ya kuona ni lipi la muhimu,kama wewe umeona kuna mengine ya muhimu basi shughulika nayo ndio mgawanyo wa majukumu huo.
Wangetoa siku kadhaa za kufanya maombi.View attachment 2539078
Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji.
Pia soma
- BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali wanawake wa kuolewa wapo
View attachment 2539048
View attachment 2539068
View attachment 2539077
====
Baraza kuu la Waislamu wa Tanzania ( Bakwata ) Mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji.
Aidha Bakwata Mkoa wa Mwanza, wamesema wamepokea na kuunga mkono hotuba ya Mheshimiwa Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Dkt, Abubakari Zuber Bin Ally juu ya kupinga na kukemea vikali matendo yote haramu
Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke ameishukuru Serikali kwa umakini wake wa kuchukua hatua za haraka pale tu inapobaini kuwepo na ulazima wa kupiga marufuku kuendelea kutumika kwa vitabu visivyo faa katika shule zetu nchini
Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Alhaji Nuhu Jabir Mruma amelipongeza Baraza Kuu la Waislam Mkoa wa Mwanza kwa kuunga mkono hotuba ya Mheshimiwa Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt, Abubakar Zuber Bin Ally juu ya kupinga na kukemea vikali viendo vyote haramu.
Mzawa
Tutawapiga tu vita nyie mpaka mrudi kwenye mstari.Wangeanz kuandamana uko Zenji wahuni wakubwa hao
Nimekwambia hayo unayoyaona wewe ni ya muhimu zaidi,tafuta njia zako uyashughulikie au tafuta wenzako muwe pamoja,umekaa hapo unachezea tu keyboard huku ukiwapangia wenzako lipi la muhimu ili walifanye wao? Wake up and take action.Kuna mambo ya muhimu zaidi si hayo ya chumbani ambayo watu watafanya tu
Na wewe huwezi nipangia kipi cha kukoment kama umeona haifai pita hiviiiNimekwambia hayo unayoyaona wewe ni ya muhimu zaidi,tafuta njia zako uyashughulikie au tafuta wenzako muwe pamoja,au inachezea tu keyboard ukipangia wenzako lipi la muhimu ili walifanye wao? Wake up and take action.