BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

Na wewe huwezi nipangia kipi cha kukoment kama umeona haifai pita hiviii
Mnajifanya kupiga huku nyie Ndio mnawachakata mashoga kwa siri anzeni na nyie kuwaacha kuwachakata watakosa soko tatizo sio mashoga tatzoo ni nyie mnaowafira
Hutaki kupangiwa kipi cha kucomment ila wewe unataka kuwapangia Bakwata waandamane kupinga kipi! Haya ni maajabu,

Kama umepoteza marinda pole sana,naona umeanza na kutoa ushuhuda!
 
Hutaki kupangiwa kipi cha kucomment ila wewe unataka kuwapangia Bakwata waandamane kupinga kipi! Haya ni maajabu,

Kama umepoteza marinda pole sana,naona umeanza na kutoa ushuhuda!

Ndio nishasema acheni unafiki mashoga mnawapenda sanaa Ndio maana umetamalaki
 
Nakuambia hivi acheni unafiki mashoga wamejaa kwa sababu nyie Ndio mnaowasalandia
Anza kuwaambia wale ambao wameidhinisha kabisa ndoa za machoko kwenye Nyumba za ibada, pamoja na kukomalia haki zao, Nchi ikiwapinga machoko inapigwa mkwala.
 
Maandamano ya kupinga ushoga yamekuuma sana Eeh! Ulikua na ajenda nao? Unafaidika nao?

Tatizo wanaandamwa wao tu wale wanaofanya je mnasahau tatizo linapoanzia wanaume wakiacha kuwalala mashoga utaisha sasa nyie mnadili na waathirika tayari
 
Tatizo wanaandamwa wao tu wale wanaofanya je mnasahau tatizo linapoanzia wanaume wakiacha kuwalala mashoga utaisha sasa nyie mnadili na waathirika tayari
Kwahiyo wakiandamana kupinga ufisadi utasema kua wanaandamana kupinga ufisadi ila mafisadi wamewaacha? Unafikiri Bakwata ni Court of Law itoe hukumu?

Wewe ulitaka Bakwata wawafanyaje hao machoko na wanao wala?
 
wakaanzie Zanzibar uko. ndio pamechafuka vibaya
 
Wallah hatuwezi kuendelea kwa kukumbatia upuuzi, badala ya kufanya kazi tunawaza upuuzi tu mpaka tunaufanyia maandamano. So sad .
 
View attachment 2539078

Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji...
Hapo ndio wanachochea kinyume nyume. Advocacy hiyo, Kwani wapi Tanzania wameruhusu mapenzi ya jinsia moja.!?! Mbona hili suala mnalipa airtime sana why how kivipi?
 
Back
Top Bottom