BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

Matitizo haya yote ni sababu za kupinga uwepo wa Mungu. Atheism ni kitu kibaya sana duniani, ni kibaya zaidi ya bomu la nyuklia
 
Wakr
Wanazuga tu waonekane wanapinga. Approach wanayoitumia ni dhaifu, haina tofauti na NGs zingine. Wamejishushia hadhi, wakristo wasijaribu kuiga maandamano kama haya hawataeleweka wanapinga nini wakati biblia imepinga mambo hayo waziwazi.

Itakuwa ni uzembe wao kuhubiri ukweli uliobainishwa na biblia. Mambo mengine waachieni wanasiasa wapambane nayo na siyo wanasiasa kuwatupia mzigo uliowashinda kwa kukosa mbinu za kupambana nazo.

Hayo mambo ni dhambi, ni uzembe wa dini kuhubiri, wanasubiri wanasiasa wawakurupushe ndio wajitokeze kupinga? Ni unafiki mtupu
I kristo hawakosi kulalama! Endeleeni kusapoti ushoga
 
Wakristo au
View attachment 2539078

Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji.
---

Pia soma
- BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali wanawake wa kuolewa wapo

View attachment 2539048

View attachment 2539068

View attachment 2539077
Baraza kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata ) Mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji.

Aidha Bakwata Mkoa wa Mwanza, wamesema wamepokea na kuunga mkono hotuba ya Mheshimiwa Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Dkt, Abubakari Zuber Bin Ally juu ya kupinga na kukemea vikali matendo yote haramu

Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke ameishukuru Serikali kwa umakini wake wa kuchukua hatua za haraka pale tu inapobaini kuwepo na ulazima wa kupiga marufuku kuendelea kutumika kwa vitabu visivyo faa katika shule zetu nchini

Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Alhaji Nuhu Jabir Mruma amelipongeza Baraza Kuu la Waislam Mkoa wa Mwanza kwa kuunga mkono hotuba ya Mheshimiwa Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt, Abubakar Zuber Bin Ally juu ya kupinga na kukemea vikali viendo vyote haramu.

Mzawa
Wakatoliki wao ushoga ni Pete na kidole
 
Wale wa Zenjibar au? Kuna mwenzio huko Geita alilewa akaingia Kanisani akaenda kumvunja Yesu Sanamu mguu nusu ampasue kichwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ila kudai ya kwamba Magufuli ni zaidi ya mtume mohamed na Mungu ni sawa!🐒🐒🐒
 
hamezi mtu tofali. Mnakurupuka sana, kwani nyie na hao wanao impose ushoga duniani ni nani amestaarabika? Nchi zinazounga mkono ushoga ndizo zimestaarabika kuliko nyie.
Unajua maana ya kustaarabika? Au unakurupuka hovyo tu kama chafya?

Unapotetea mashoga na kusema kua huko ndio kustaarabika unatia mashaka sana.
 
mtaweza wapi nyie? Tulieni tu huu muziki kwa nyie hamtauweza. Tena mnakosea sana approach ya kupinga. Bora mgebaki huko ndani ya majumba yenu ya kuabudia mpinge huko. Huku nje mashoga wanawachora tu
Wewe ni upinde? Naona unawatetea kwa nguvu zote!
 
Na wewe huwezi nipangia kipi cha kukoment kama umeona haifai pita hiviii
Mnajifanya kupiga huku nyie Ndio mnawachakata mashoga kwa siri anzeni na nyie kuwaacha kuwachakata watakosa soko tatizo sio mashoga tatzoo ni nyie mnaowafira
Kichwa Cha chini hakinaga adabu, ni marufuku kugusishwa wezere ya yeyote yule, hata tuu kushea kitanda haitakiwi, kidogo tuu kishaamka.

Ukipitiwa waweza Kuta ushatafuna mtu bila kujua imekuaje.
 
nitawatetea utu wao, kamwe sitatetea matendo yao. Wana haki ya kuthaminiwa kama binadamu wa kawaida ila ushoga wao haukubaliki
Hujielewi wewe wala huelewi hata unachokisimamia,

Wewe ni wakuonewa huruma tu,umepotea njia ila ndio kwanza unaongeza na Spidi!
 
View attachment 2539078

Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji.
---

Pia soma
- BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali wanawake wa kuolewa wapo

View attachment 2539048

View attachment 2539068

View attachment 2539077
Baraza kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata ) Mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji.

Aidha Bakwata Mkoa wa Mwanza, wamesema wamepokea na kuunga mkono hotuba ya Mheshimiwa Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Dkt, Abubakari Zuber Bin Ally juu ya kupinga na kukemea vikali matendo yote haramu

Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke ameishukuru Serikali kwa umakini wake wa kuchukua hatua za haraka pale tu inapobaini kuwepo na ulazima wa kupiga marufuku kuendelea kutumika kwa vitabu visivyo faa katika shule zetu nchini

Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) Alhaji Nuhu Jabir Mruma amelipongeza Baraza Kuu la Waislam Mkoa wa Mwanza kwa kuunga mkono hotuba ya Mheshimiwa Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt, Abubakar Zuber Bin Ally juu ya kupinga na kukemea vikali viendo vyote haramu.

Mzawa
Jambo zuri
 
Back
Top Bottom