BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Tatizo kila mtu anaona mtoto wake ni innocent halafu watoto wa wenzie ndo wa hovyo.

Tulikuwa na dada akaondokoa alikuwa na 22 mama anamuuliza unaenda kuolewa? Sema tu kweli, akakataa. Mama akasema atakuwa anaenda kuolewa.

Hapo mimi nina 26 na mtoto juu anasema I'm too young to get married 😂, where are our parents' sense?
 
Mudy anatakiwa ashtakiwe Kama mbakaji na ahukumiwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wewe ulipokua 16 ulikua Bikra?
Nilikua bado mtoto sana, tusimame kwenye ukweli tusipotoshe

Miaka 16 ni mtoto anaehitaji mwongozo na uangalizi wa wazazi, kusema eti anaweza kuolewa ni ukatili kwa mtoto
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Wakiristo waliowengi akili zenu hovio kabisa mnazidiwa akili na wapagani kwa sababu mpagani anatambua kuwa mtoto akisha anza kuonda damu ya kila mwezi sio mtoto
tena kawa mama yampasa kuolewa kabla ya akaleta wajukuu nyumbani na kutoa mimba sasa nyinyi wakiristo mnapinga nn?
 
Binti akitaka?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Si mzazi unakataa?
Kwani binti yako akitaka kunywa pombe au kuvuta sigara utamkubalia? Si utamwambia hapana?

Kinashindikana nini kumwambia binti hapana, subiri utaolewa ukiwa mkubwa?

Kwa hiyo binti yako wa miaka 9 naye akikuambia anataka kuolewa wewe utamkubalia? Hutamwambia hapana?

Hivi nyie wavaa kobazi mbona mnakuwa wapumbavu hivi?
 
Sawa mnawaoa ila wakishazaa watoto wawili mnashindwa kuwahudumia wanageuka wauza Karanga,mandazi,maembe,sambusa.mbaya zaidi wakiwa na watoto mgongini mna ukatili sana nyie dini ya haki.
 
Mimi ni upande Christian upande Islam nimeingia masjid nimeingia church…what I came to conclude ni kwamba hizi dini tumeletewa….lets get back to our roots….African roots….na kwa mambo yalivyobadilika siioni hoja ya mtoto wa miaka 14 kuolewa
 
Yani alafu hiyu ndo mwanasheria mkuu aisee,na kuna watu watakubari.

Hivi huyo mtoto hana malengo,yeye kuzaliwa kwake kikubwa ni kuwa mke tu,hawa jamaa waache hizi tabia za kishamba na kipuuzi
 
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limependekeza kifungu cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinachoruhusu msichana wa umri wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama kisiondolewe.

Akitoa maoni hayo Mwanasheria Mkuu wa BAKWATA, Hassan Fatihu alipowasilisha mapendekezo kwa Tume ya Kuangalia Jinsi ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini amesema sheria ya ndoa ibaki vilevile kutokana na ukinzani uliopo kati ya sheria ndoa na sheria ya mtoto pamoja na imani za dini.

“Sisi Waislamu tunaamini mtoto wa kike akishavunja ungo anaruhusiwa kuolewa, nami naruhusiwa kuoa haijalishi nina miaka 10, 12 au 13,” ameeleza Fatihu.

Ameongeza kuwa sheria ya mtoto inaeleza kuwa mtu yeyote aliye chini ya miaka 18 ni mtoto, na kwamba sheria ya ndoa imeruhusu mtoto kuanzia umri wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya mahakama ambapo itaangalia vitu vingi ili kuruhusu ndoa hiyo ikiwa ni pamoja na afya ya mtoto, mila na tamaduni za jamii husika.

Mjumbe asiuawe

=======

BAKWATA imependekeza kutoifanyia marekebisho Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 inayoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na umri wa miaka 15 au miaka 14 kwa kibali cha wazazi.

Mtazamo huo unakinzana na maoni ya wanaharakati wa haki za watoto na wanawake ambao wamekuwa wakipinga utekelezaji wa sheria hiyo kuwa inakinzana na Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 inayomtambua mtoto hadi umri wa 18.

Julai 8, 2016 Mahakama Kuu ilitoa hukumu ikikubali kwamba vifungu hivi vya sheria ya ndoa vinapingana na Katiba kwa kuweka umri tofauti wa kuoa/kuolewa kati ya mtoto wa kike na wa kiume.

Hukumu hiyo ilitolewa kufuatia kesi iliyofunguliwa na Mkurugenzi wa Shirika la Msichana Initiative, Rebeca Gyumi aliyekuwa akipinga kifungu cha 13 na 17 vya sheria ya ndoa kinachoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na miaka 14 kwa kibali cha mahakama, na miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi.

Kwa mujibu wa BAKWATA, mtoto mwenye umri wa miaka 11, 12 au 13 aliyeingia kwenye kipindi cha balehe aruhusiwe kuolewa kwa uhalali wa mahakama utakaozingatia vielelezo vya kimazingira. “Mtoto wa kike ana miaka 11, 12 hajaendelea na elimu, kwa nini asiolewe? Ukimuacha huyu ni matokeo ya kupata mimba mtaani.

“Simaanishi kila mtoto wa umri huo aruhusiwe kuolewa ila mahakama itajiridhisha afya yake, mazingira na mengineyo,” alisema mwanasheria wa baraza hilo, Hassan Fatiu.

Chanzo: Mwananchi
Wao hudhani watoto ni WA majirani au wa watu wengine, wamesahau nao wanaandaa future ya mabinti zao, wasome na wake wajikomboe kimaisha , hivyo unavyotoa matamko kwa kufuata tamaduni za kale za kiarabu zilizoandikwa kwenye kitabu unachokikariri na kuacha tamaduni zako kumbuka kuwa una vibinti na vijukuu vya kike, halafu kesho unakutana na jitu zee linamadevu kama Osama limemsimamisha njiani eti linamtonhoza au linamchumbia. Lazima tuwatetee watoto na wajukuu zetu wasiharibiwe Maisha na watu wasio na hekima
 
Akhasanta mdomo mali yako tukana mpaka uchoke likini ukweli utabaki kuwa ukweli tu,takwamu ya elimu inaonyesha watoto miaka 12,14,15 wapatao 6000 wamerudi shuleni baada ya kujifungua kafiri sifa yake ni kupinga ukweli uisilamu sifa yake kusema ukweli mtoto akisha vunja uongo sio mtoto tena bali ni mama kuolewa haki yake kafiri kila mtaa mawaona mnao waita watoto wakijiuza heti bado mnasema watoto bora kufa nikazikwa kuliko kuwa kafiri (mkiristo)
Mimi ni bora nichinjwe tu kwa kisu butu, kuliko kua muislamu. Dini gani hii ya mabazazi ambayo kwenu ngono ndio kipaumbele hadi kwa watoto?

Mtume wenu akaoa katoto ka miaka tisa (ingekua leo, tungemtandika viboko hadharani), magaidi yenu yanaua watu kwakua yamepewa ahadi ya bikra saba huko akhera. Na sasa mnataka sheria za nchi ziruhusu ubazazi wenu kwa watoto.

Mkivibaka vitoto vyenu huko madrassa inatosha. Nikikukuta anywhere near my daughter na midevu yako, nakufyeka shingo!
 
Back
Top Bottom