BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Yeye ameoa mtoto wa miaka 14?
Je yuko tayari tuoe binti yake mwenye miaka 14?
Wasije wakashabikia kuoza watoto wa wenzao huku wakwao wakiwafungia ndani
 
Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu wa Bakwata haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo? Kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama? Na shule je?.

Aisee...inasikitisha sana.
Na kitaalam wanasema mwanamke afikishe miaka 20+ kuipa nyonga stability ndipo ashike mimba
 
Mm naona sheria isomeke kwamba mtoto wa wazazi waislamu anaruhusiwa kuolewa umri huo tusiwaingilie ndugu zetu waislamu ,ila itamke wazi kwa wasio waislamu ni miaka 18.

Wakati mwingine tuwape watu wanachokitaka sababu sio watoto wetu ni wa waislamu hata wakitaka miaka 9 tupitishe ili mradi mahakama ithibitishe kiafya yuko tayari ,nadhan kuheshimiana na waislamu ni pamoja na kukubali kuwa na sheria zinazowadhuru wao peke yao
 
Hovyo hovyo KABISA KABISA KABISA 🤬🤬🤬🤬🤬
 
Ni sahihi, mabibi zetu waliwazaa mababa zetu katika umri huohuo na maisha yalienda vizuri.

Kumuacha binti aliyebalehe asipate tendo kwa njia ya halali atalipata kwa njia haramu na itakuwa mwanzo wa mimba na watoto wanaokosa malezi ya baba
 
Ujima mtupu
Nikiangalia visichana vya umri huo bado vinaenjoy michezo ya kitoto, unakuta vimejaa vumbi vinacheza, ukikatuma dukani kanarukaruka, hata havijui wanaume halafu mtu anakwambia huyo binti akaolewe huwa nakasirika jamani🤦🏽‍♀️
 
Wakijisikia hamu ya kufanya mapenzi jamii inawasaidiaje?
 
Wakijisikia hamu ya kufanya mapenzi jamii inawasaidiaje?
Mtoto wa miaka 14 hamu anazitoa wapi bila kurubuniwa na wanaume washenzi! Mtu mzima anashindwa kupambana na size zake anakimbilia tutoto! Wanaume wengi wa aina hii hawajiamini, hawana uwezo wa kupata wanawake wanaowataka ndio maana wanaisihia kuwa pedophiles unadindishaje mbele ya kitoto cha umri huo kwa kifupi most of them ni insecured 🚮
 

Wenye umri wa miaka 14 wanazo hisia kali za mapenzi. Na wengi katik umri huo wanapata watoto. Sasa wakikuuliza kuwa wao wanahitaji tendo unataka wasaidiweje?
 
Wenye umri wa miaka 14 wanazo hisia kali za mapenzi. Na wengi katik umri huo wanapata watoto. Sasa wakikuuliza kuwa wao wanahitaji tendo unataka wasaidiweje?
Sio kweli, hakuna mtoto wa umri huo mwenye hisia kali bila wanaume kuziamsha usifikiri hatujapitia huo umri! Mnawarubuni tu! Kwani tendo ni ugali lazima apate akiwa katika huo umri? Wewe mwanao wa miaka 14 anaweza kuwa mke akahimili mikiki mikiki ya ndoa? Kuweni na utu!
 
Yeye ameoa mtoto wa miaka 14?
Je yuko tayari tuoe binti yake mwenye miaka 14?
Wasije wakashabikia kuoza watoto wa wenzao huku wakwao wakiwafungia ndani
huyo ni mwanasheria kiazi!!! aanze kumwoa mama yake!!
 
Ni kama kula embe dogo lenye uchachu Ile mbaya. Why not kusubiri ule dodo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…