Mimi sijui ,naomba nukuu tafadhaliManeno kibao hayana msingi nani hajui kua Maria kazaa akiwa na miaka 12
Nimekwambia
Miaka 12 anaweza ongea na Malaika Kwa busara kama zile
Na zee la miaka 50+ lilidai limekutana na Malaika likatoka nduki na kuweweseka?