Lucky93
JF-Expert Member
- Jun 27, 2022
- 802
- 1,658
Bibi kwa hiyo hata Lucky Philip Dube alikua na jina la kike? Shule ulienda kusomea ujinga?Kuna Lucky hapo, siyo "luck".
. Vipi kijana unabadili jina mpaka linakuwa la kike?
Usijali, tunawafahamu vijana wa sasa, mnapenda mambo ya kike. Ni chaguo lako.
Atakae oa au kuolewa akiwa na umri wa miaka 14 kama havunji sheria za nchi pia ni chaguo lake. Kama anavunja sheria za nchi, si sawa.
View attachment 2568066