BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Mimi naamini mtoto akifika 17 aolewe, haya mambo watu wa miaka 35+ kufunga ndoa ndio yanaleta uzinzi tu.

Ndoa inapendeza kuwa mapema kabla vijana hawajaonja onja,

NB
Sijapinga wala kukubali umri unaopendekezwa na ma sheikh
 
Sheria hii ipo tangu miaka ya 1970 huko na mpaka leo bado ipo na inafanya kazi. Kinachoendelea sasa ni utoaji wa maoni ili kuleta mabadiliko ya sheria hii.

Watu wengi wamepokea maoni ya Bakwata kama maoni ya waislamu wote wa Tanzania.

Watu wamelipokea hili kama jambo jipya kabisa ambalo kwa mara ya kwanza ndo linasikika Tanzania hii wakati ni jambo ambalo lipo muda mrefu pengine tangu wengi wetu humu hatujazaliwa.

Watu wanadhani sheria hii endapo itaendelea kuwepo basi mabinti wengi wa miaka 14 watalazimishwa kuolewa, wataachishwa masomo, watanyanyaswa na kubakwa pia kwa maana hakuna ndoa na mtoto.

Maswali ya kujiuliza, Je ni mara ngapi katika mitaa yetu tuliona au kusikia binti wa miaka 14 anaolewa? Ni nani katika sisi anaweza kumuoza bintiye wa miaka 14? Tutumia kigezo gani kuamua umri ambao unafaa binti kuolewa? Nani aamue wakati wa kuolewa, ni binti, wazazi, serikali, au jamii? Na kwa sababu zipi?
 
Oa kwa kigezo cha dini akiwa shule ni 30 mvua
Kuna kotradikishen fulan hv
 
Mtu akibalehe akitaka starehe ya mwili aruhusiwe tu, mnakataza asiolewe lakini mnawafundisha njia salama za uzazi wa mpango,kumeza madonge,vijiti,mnawafundisha kuvaa kondomu, so mnakubali wapigane miti kinyume na sheria?

Mie naona anaetaka ndoa apewe, awe ke au me, kikubwa tu asilazimishwe kuolewa, atakaebainika kalazimisha apate adhabu.
 
Kwani Sheria za Nchi si ndo msingi na kanuni ambazo kutokana na hizo Sheria zingine zinatungwaa? Sasa inakuwaje sheria za Bakwata zivunje sheria za nchi? Au waislamu wao wana nchi yao?
Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ni miaka 14. Bakwata sio watunga sheria, wametoa maoni yao tu.

Tazama mabalaa haya...

 
Kwani utoto unapimwa Kwa kupevuka kijinsia tu?!
Ni kupitia tafiti za kisayansi imeonekana umri chini ya miaka 18 anakuwa ni mtoto kupitia namna yake ya kufikiri juu ya mambo na anavyoenenda na kuamua mambo anakuwa ni tegemezi kiufahamu.
Cognitive maturity bado, ni kweli.

Na pia anatomically mara nyingine bado msichana hajakomaa. Hata wanawake watu wazima mara nyingi wanalazimika kupasuliwa cessarian kwa sababu ya maumbile kuwa madogo kupitisha mtoto, sembuse kibinti ambacho bado kinakuwa. Vitakuwa vina recomendiwa kupasuliwa kila siku. Na ukianza na kisu utaendelea na kisu. Kuna gharama zaidi, kuna hatari za ku bleed to death, kuuliwa na anesthetics, infections etc etc...

Na kuna kuumizwa na maumbile ya mwanamme mkubwa zaidi. Kibinti kinashindwa kusema lolote manake hakijui hii ndio normal ama vipi. Na hata akisema hana sauti, hajui kujieleza na kumpinga mwanamme bread winner aliyemzidi miaka 20.

Nature ina mapungufu pia. Kuvunja ungo hakumaanishi umekomaa na unatosha. Ndio maana waja wazito wanaenda clinic miezi 9 kupewa madawa ya kuumba mtoto tumboni (Folic Acid) na kutunza mimba isichomoke ( progesterone.)

Ni suala mtambuka. Hata sielewi kwa nini limeenda kwenye HAKI JINAI. Sheria ya Ndoa ina regulate jinai ?
 
Ndio uislam ulivyo na sheria zake. Mume wake 4, mke mume 1 justificaion iko wapi?
Hivi mwanamke m'moja anaweza himili kuishi na wanaume wanne ambao wana afya na wanataka kupiga mashine kila siku si watamuua.

Hebu kuwa reasonable usiwe unapenda kubalance kila kitu.
 
Kuoa na kumuingilia ni vitu viwili tofauti,hata chini ya hapo mila za zamani walioa kabla ya Sheria za ubakaji.

Walioa wakiendelea kuishi kwa wazazi wao hadi umri uliporuhusu wa kuingiliwa ndipo wakaenda KWA waume zao.

Walichumbia kwa tafsiri ya kuoa.
Huwezi muingilia binti wa miaka 9 itaingia vipi sasa.
Kabla ya shule miaka 14 waliolewa vijijini.
Nadhani hawa watu wa BAKWATA watakuwa na hoja zao za msingi ambazo zinatakiwa kutolewa ufafanuzi. Pengine ni jambo ambalo limewekewa utaratibu ili lilete matokeo fulani na kuzuia jambo fulani.

Tusipende kudharau maoni ya viongozi wa kiimani. Mnakumbuka kipindi cha nyuma wazee wetu walikuwa na utaratibu wa namna ya kuishi na Mke sisi tukaja na hawa wanaharakati na hoja zao za Beijing tukasema mila za kiafrika ni kandamizi zinamuonea mwanamke tukashabikia mwanamke kuwa huru kimaamuzi kufanya atakalo na kujiamulia.

Sasa leo tunajionea jamii yetu ina wanawake wa aina gani wamejaa. Sasa hili nalo tusilipuuze sababu ni yale yale ya wanaharakati kutaka kutuletea umagharibi katika maisha na tamaduni zetu.

Tuwe na subira tuwasikie viongozi hawa wanaelekeza nini. Hiyo tafasiri ya kusema mtoto wa miaka 14 kuolewa je imemaanisha kuwa kila mwanaume awahi binti wa miaka 14? Kwan ndicho kitu walichoelekeza, unajua tusipende kuwa na mihemuko kwenye maswala ya kisheria.

Tusijeweka sheria ambayo itakuwa kuwa na faida kidogo na hasara kubwa. Hawa ni viongozi wa dini, kwamba watakuwa wanaelekezea jamii kupotoka au kuipoteza jamii?!

Hebu tusikuze mambo tusikilize tafasiri ya kile ambacho wao wanakiona au kukiongelea sio kutumia maneno ya kutisha au kufurisha hasira kwenye jamii kuelezea jambo ambalo halitaki sana ukorofi.
 
Kwani Sheria za Nchi si ndo msingi na kanuni ambazo kutokana na hizo Sheria zingine zinatungwaa? Sasa inakuwaje sheria za Bakwata zivunje sheria za nchi? Au waislamu wao wana nchi yao?
Na hili ndilo swala ambalo wengi hawajiulizi, kuwa hawa viongozi wa kiimani watakuwa na ajenda ya kuharibu jamii na kuidhoofu?!
 
Mwanamke yupo Kwa ajili ya kufuata maelekezo. Under traditional rules mwanamke hana ndoto badala yake anatimiza ndoto za mwanaume wake.

Na ni kupitia mfumo huo ambapo ndoa zilikuwa zinadumu after arranged marriage. Unataka utegemee mawazo ya mwanamke kutoka kimaisha? Utachelewa sana kama hautokwama kabisa.
Hawa ndio wanasababisha mabinti wengi wanazagaa humu mitaani na hawajielewi.
 
Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana,huyo miaka 14 akiolewa utashangaa anavyobadilika na anayamudu vizur tu majukumu yake hata akiwa na watoto anawatunza vzur tu na biashara wanafanya za kukizi mahitaj ya familia

Kiumbe ke usikichukulie poa
Mahousegirl wengi huwa wanapitia mfumo huo na wakikutana na mtu sahihi ndio unakuta maisha yanawakalia sawa baadae.
 
Back
Top Bottom