BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limependekeza kifungu cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinachoruhusu msichana wa umri wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama kisiondolewe.

Akitoa maoni hayo Mwanasheria Mkuu wa BAKWATA, Hassan Fatihu alipowasilisha mapendekezo kwa Tume ya Kuangalia Jinsi ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini amesema sheria ya ndoa ibaki vilevile kutokana na ukinzani uliopo kati ya sheria ndoa na sheria ya mtoto pamoja na imani za dini.

“Sisi Waislamu tunaamini mtoto wa kike akishavunja ungo anaruhusiwa kuolewa, nami naruhusiwa kuoa haijalishi nina miaka 10, 12 au 13,” ameeleza Fatihu.

Ameongeza kuwa sheria ya mtoto inaeleza kuwa mtu yeyote aliye chini ya miaka 18 ni mtoto, na kwamba sheria ya ndoa imeruhusu mtoto kuanzia umri wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya mahakama ambapo itaangalia vitu vingi ili kuruhusu ndoa hiyo ikiwa ni pamoja na afya ya mtoto, mila na tamaduni za jamii husika.

Mjumbe asiuawe

=======

BAKWATA imependekeza kutoifanyia marekebisho Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 inayoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na umri wa miaka 15 au miaka 14 kwa kibali cha wazazi.

Mtazamo huo unakinzana na maoni ya wanaharakati wa haki za watoto na wanawake ambao wamekuwa wakipinga utekelezaji wa sheria hiyo kuwa inakinzana na Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 inayomtambua mtoto hadi umri wa 18.

Julai 8, 2016 Mahakama Kuu ilitoa hukumu ikikubali kwamba vifungu hivi vya sheria ya ndoa vinapingana na Katiba kwa kuweka umri tofauti wa kuoa/kuolewa kati ya mtoto wa kike na wa kiume.

Hukumu hiyo ilitolewa kufuatia kesi iliyofunguliwa na Mkurugenzi wa Shirika la Msichana Initiative, Rebeca Gyumi aliyekuwa akipinga kifungu cha 13 na 17 vya sheria ya ndoa kinachoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na miaka 14 kwa kibali cha mahakama, na miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi.

Kwa mujibu wa BAKWATA, mtoto mwenye umri wa miaka 11, 12 au 13 aliyeingia kwenye kipindi cha balehe aruhusiwe kuolewa kwa uhalali wa mahakama utakaozingatia vielelezo vya kimazingira. “Mtoto wa kike ana miaka 11, 12 hajaendelea na elimu, kwa nini asiolewe? Ukimuacha huyu ni matokeo ya kupata mimba mtaani.

“Simaanishi kila mtoto wa umri huo aruhusiwe kuolewa ila mahakama itajiridhisha afya yake, mazingira na mengineyo,” alisema mwanasheria wa baraza hilo, Hassan Fatiu.

Chanzo: Mwananchi
Hawa Bakwata wanapenda kuoa watoto,waislam wanapenda sana haya mambo sijui kwa nini
 
W erisks za kiafya za mtoto huyo kuolewa hata kama hasomi? Embu tuache kuendekeza ujinga in the name of dini
We mbuzi nini!?..kwani hiyo Sheria ya serikali ya kumuozesha mtoto wa miaka 14 kupitia mahakama ni ya dini!?..bibi yako aliolewa akiwa na umri gani!?
 
We mbuzi nini!?..kwani hiyo Sheria ya serikali ya kumuozesha mtoto wa miaka 14 kupitia mahakama ni ya dini!?..bibi yako aliolewa akiwa na umri gani!?
Sheria gani ya tz inasema mtoto wa miaka 14 aolewe??? Jichanganyre ukanyee ndooo hao bakwata hawatakuwepoo..
 
Sheria gani ya tz inasema mtoto wa miaka 14 aolewe??? Jichanganyre ukanyee ndooo hao bakwata hawatakuwepoo..
Yaani habari umeisoma lakini hujaelewa!!..shuleni ulichapwa Kama punda, bakwata wanasema hiyo Sheria ya serikali ya mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa kibali Cha mahakama isifutwe iendelee,au hukusoma umedandia tu mjadala!?
 
Yaani habari umeisoma lakini hujaelewa!!..shuleni ulichapwa Kama punda, bakwata wanasema hiyo Sheria ya serikali ya mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa kibali Cha mahakama isifutwe iendelee,au hukusoma umedandia tu mjadala!?
Ni sheria ya kipumbavuu sanaa ndo maana ikafutwaa sasa wao bakwataa wanataka waendelee kuwa wapumbavu???
 
Nyie watu wa hii dini mnapenda ngono jamaaaaniiiiii [emoji119]
Wewe kama mwanaume basi khanithi kama ke basi huna shimo,swali kwanini mtoto wakike akifikia kipindi uanza kutokwa damu sehemu za siri kila mwezi?
 
Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu wa Bakwata haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo? Kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama? Na shule je?.

Aisee...inasikitisha sana.
Huyo amelenga kawe mke wa tatu au wa 4... Awe anajilia embe bichi kwa chumvi...
Mkiambiwa imani zingine ni ushetani na zinadumaza uwezo wa kutafakari mnabisha.
 
Huyo amelenga awe mke wa tatu au wa 4... Awe anajilia embe bichi kwa chumvi...
Mkiambiwa imani zingine ni ushetani na zinadumaza uwezo wa kutafakari mnabisha.
Hiyo ni Sheria ya serikali we kima
 
Back
Top Bottom