PostGE2025 BAKWATA, Watanganyika tunajua mnatumika kupandikiza hoja ya Udini. Jueni tu hamtaweza kututoa kwenye reli

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Rais Magufuli alikuwa mkristo na mkatoliki lakini bado Kanisa Katoliki lilimsema kwa kukiuka haki za binadamu na kukataa uwepo wa korona.

Rais Magufuli alikuwa Mkristo na Mkatoliki lakini bado KKKT walitoa nyaraka mbalimbali kumsema na kuituhumu Serikali yake kwa ukandamizwaji wa haki za binadamu.

Wakati KKKT, TEC wanamsema Magufuli hakuna aliyesema anasemwa kwa sababu ni mkristo.

Sasa hivi, Serikali ya Samia inaua watu, inapoteza watu, inateka watu na mbaya zaidi kwenye maandamano ya Watanzania kudai haki kipindi cha Uchaguzi imeua maelfu ya Watanzania alafu anaposemwa na kulaaniwa eti mnadai anasemwa kwa sababu ni Muislam? Kwani wanaouliwa ni wakristo tu?

Kelele anazopigiwa Samia sio kwa sababu ni muislam. Hapana, kelele anazopigiwa Samia ni kwa sababu amekiuka misingi ya Haki na kulinda Uhuru na Uhai wa Watanzania inayotolewa na Sheria kuu ya Nchi ambayo ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wito wangu kwenu, nyie endeleeni kujitoa ufahamu kujaribu kupandikiza chuki za udini kwa Watanganyika ila jueni Watanganyika kamwe hatutadanganywa na mbegu mnayojaribu kuipandikiza.

Watanzania wote Wakristo na Waislam tumesema kwa pamoja tunataka Haki ili nchi iwe na Amani yenye Umoja na Utulivu.
 
Maaskofu wametoa matamko mangapi kwa miaka minne ya Samia na mangapi kwa miaka mitano na nusu kwa magufuli?

Wakati wa magufuli hapakua na watu kutekwa,viroba vya maiti? walisema?.. baada ya tundu kuvurumishiwa risasi, walisema?

Si tulikua tunaona pengo alivyokua na furaha na magu!?
 
Umezaliwa lini?
 
Machawa
 
 
Idadi ya nyaraka inategemea na maovu ya mtawala siyo dini yake
 
CCM wako tayari kutumia karata yoyote ile kubaki madarakani ikibidi hii ya kupandikiza chuki dhidi ya Wakristo na Waislamu.
 
Kwa Samia kuna nyaraka nne na matamko lukuki
 
Mtu unasemwa kulingana na mabaya yako, mabaya ya huyu mama n8 ngie mara 1000 zaidi ya magufuli ni lazima hata kusemwa asemwe sana, sasa cha ajabu waislamu majuha mnabeba ajenda kidini ili kulazimisha ujinga wenu mlio nao kuchwani
 

View: https://www.threads.com/@muya51/post/DQ9prVWDKj5?xmt=AQF0kziQ8yWkJ4R3Nb7EQDxIcv-5UMFdhFyqLHjzBEku2xs6-pBunPoC0_byAYnCgtYsvEdi&source_surface=35&slof=1
 
Hawa ni wajinga wanaokubali kutumika kutokana na kuendekeza njaa
Sasa hata wakipandikiza hiyo chuki hawawezi maana hata hivyo wakristo ni wengi sana nchi hii kuliko hao kobaz, kanda ya ziwa peke yake ni sawa waislam wote nchi nzima
 
Wewe usiuchafue uislamu Kwa tamaa zenu za madaraka
Ccm mshaharibu nchi msiharibu na umoja wa kitaifa

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…