gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Akili ndogo kwa kuwa sikabaliani na wewe!!..nyi huwa wapuuzi sanaBasi endelea kuvaa pampas na kunyonya. Akili yako ni ndogo sana kuweza kujadili hoja za maana humu

Huo waraka wa pasaka 2018Hujaona ushahidi uliowekwa hapo? Au wewe ni kipofu?
Unaanza kuulizia idadi ya nyaraka Tena? Nilijua wakristo hawakutoa nyaraka against mkristo mwenzao, kumbe wewe unataka kucompare kwa idadi. Stupid kabisa.Maaskofu wametoa matamko mangapi kwa miaka minne ya Samia na mangapi kwa miaka mitano na nusu kwa magufuli?
Wakati wa magufuli hapakua na watu kutekwa,viroba vya maiti? walisema?.. baada ya tundu kuvurumishiwa risasi, walisema?
Si tulikua tunaona pengo alivyokua na furaha na magu!?
Intensity ya nyaraka na matamko, waraka dhidi ya mkapa ulitoka,kosoa kidogo,wakaahidi kumpa kura,hapakua na matamko japo aliua watu msikitini mwembechai 1998,pemba 2001,halafu akaja kikwete,kila pakikucha matamko,waraka,magu waraka wa pasaka 2018,Samia waraka kila mwaka na matamko kila baada ya miezi mitatuUnaanza kuulizia idadi ya nyaraka Tena? Nilijua wakristo hawakutoa nyaraka against mkristo mwenzao, kumbe wewe unataka kucompare kwa idadi. Stupid kabisa.
matamko ni ya kudai haki na amani kwa pamoja na siyo amani pekee kama wale wengine wa BAKWATA ,aya fungeni hilo kanisa linalodai haki na amani hadi yesu atakaporudi.Kwa Samia kuna nyaraka nne na matamko lukuki
Kanda ya ziwa wengi wapagani,labda mara ndiyo sipajui,wasukuma hadi mijini ni wapagani, wakati ukanda wa pwani 90%Sasa hata wakipandikiza hiyo chuki hawawezi maana hata hivyo wakristo ni wengi sana nchi hii kuliko hao kobaz, kanda ya ziwa peke yake ni sawa waislam wote nchi nzima
Pakiwa na amani ndiyo utadai haki,huwezi dai haki amani hakunamatamko ni ya kudai haki na amani kwa pamoja na siyo amani pekee kama wale wengine wa BAKWATA ,aya fungeni hilo kanisa linalodai haki na amani hadi yesu atakaporudi.
Basi endelea kuvaa pampas na kunyonya. Akili yako ni ndogo sana kuweza kujadili hoja za maana humu
hii mbwa ni adui wa maendeleo yetu! Cheki ulivyo fala! Km wewe!Maaskofu wametoa matamko mangapi kwa miaka minne ya Samia na mangapi kwa miaka mitano na nusu kwa magufuli?
Wakati wa magufuli hapakua na watu kutekwa,viroba vya maiti? walisema?.. baada ya tundu kuvurumishiwa risasi, walisema?
Si tulikua tunaona pengo alivyokua na furaha na magu!?
Sasa unataka kusemeje? Hoja iliyopo mezani ni kuwa Maaskofu wanasema ukweli hawaangalii aliyefanya ni muislam au mkristo wanatetea kweli na haki.Akili ndogo kwa kuwa sikabaliani na wewe!!..nyi huwa wapuuzi sana
Huo waraka wa pasaka 2018
Hawa jamaa ni wapumbavu sana. Wakibanwa kwenye ukweli wanaanza kukimbilia mambo ya kipuuzi.Unaanza kuulizia idadi ya nyaraka Tena? Nilijua wakristo hawakutoa nyaraka against mkristo mwenzao, kumbe wewe unataka kucompare kwa idadi. Stupid kabisa.
Sijui wanawaza nini hawa waislam wezetu..inasikitisha kwa kweli..wajue waislaam tulio wenge hatuwaungi mkono huu upuuzi wao Allah atawahukumu kwa kutosimamia haqi.Rais Magufuli alikuwa mkristo na mkatoliki lakini bado Kanisa Katoliki lilimsema kwa kukiuka haki za binadamu na kukataa uwepo wa korona.
Rais Magufuli alikuwa Mkristo na Mkatoliki lakini bado KKKT walitoa nyaraka mbalimbali kumsema na kuituhumu Serikali yake kwa ukandamizwaji wa haki za binadamu.
Wakati KKKT, TEC wanamsema Magufuli hakuna aliyesema anasemwa kwa sababu ni mkristo.
Sasa hivi, Serikali ya Samia inaua watu, inapoteza watu, inateka watu na mbaya zaidi kwenye maandamano ya Watanzania kudai haki kipindi cha Uchaguzi imeua maelfu ya Watanzania alafu anaposemwa na kulaaniwa eti mnadai anasemwa kwa sababu ni Muislam? Kwani wanaouliwa ni wakristo tu?
Kelele anazopigiwa Samia sio kwa sababu ni muislam. Hapana, kelele anazopigiwa Samia ni kwa sababu amekiuka misingi ya Haki na kulinda Uhuru na Uhai wa Watanzania inayotolewa na Sheria kuu ya Nchi ambayo ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wito wangu kwenu, nyie endeleeni kujitoa ufahamu kujaribu kupandikiza chuki za udini kwa Watanganyika ila jueni Watanganyika kamwe hatutadanganywa na mbegu mnayojaribu kuipandikiza.
Watanzania wote Wakristo na Waislam tumesema kwa pamoja tunataka Haki ili nchi iwe na Amani yenye Umoja na Utulivu.View attachment 3501747View attachment 3501749
Issue ni matamko mangapi ama ni matamko? Unadhani kuna mtu ana muda wa kubalance shobo?Maaskofu wametoa matamko mangapi kwa miaka minne ya Samia na mangapi kwa miaka mitano na nusu kwa magufuli?
Wakati wa magufuli hapakua na watu kutekwa,viroba vya maiti? walisema?.. baada ya tundu kuvurumishiwa risasi, walisema?
Si tulikua tunaona pengo alivyokua na furaha na magu!?
Unauliza au unapigia jibu mstari. Ama Samia naye kaja kufanya unyama kwa niaba ya waisilamu?Viroba vya maiti, palikua na waraka?..Ben saanane,azory, palikua na waraka?..kushambuliwa lisu?.. trillion 2 kupotea?.. uchaguzi 2020?
Hawapandikizi, Bali kanisa katoliki ndiyo walioanzisha hili, wanajiona kama wao ndiyo wamiliki wa nchi hii.. lakini mwisho wao unakaribia.Rais Magufuli alikuwa mkristo na mkatoliki lakini bado Kanisa Katoliki lilimsema kwa kukiuka haki za binadamu na kukataa uwepo wa korona.
Rais Magufuli alikuwa Mkristo na Mkatoliki lakini bado KKKT walitoa nyaraka mbalimbali kumsema na kuituhumu Serikali yake kwa ukandamizwaji wa haki za binadamu.
Wakati KKKT, TEC wanamsema Magufuli hakuna aliyesema anasemwa kwa sababu ni mkristo.
Sasa hivi, Serikali ya Samia inaua watu, inapoteza watu, inateka watu na mbaya zaidi kwenye maandamano ya Watanzania kudai haki kipindi cha Uchaguzi imeua maelfu ya Watanzania alafu anaposemwa na kulaaniwa eti mnadai anasemwa kwa sababu ni Muislam? Kwani wanaouliwa ni wakristo tu?
Kelele anazopigiwa Samia sio kwa sababu ni muislam. Hapana, kelele anazopigiwa Samia ni kwa sababu amekiuka misingi ya Haki na kulinda Uhuru na Uhai wa Watanzania inayotolewa na Sheria kuu ya Nchi ambayo ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wito wangu kwenu, nyie endeleeni kujitoa ufahamu kujaribu kupandikiza chuki za udini kwa Watanganyika ila jueni Watanganyika kamwe hatutadanganywa na mbegu mnayojaribu kuipandikiza.
Watanzania wote Wakristo na Waislam tumesema kwa pamoja tunataka Haki ili nchi iwe na Amani yenye Umoja na Utulivu.
Lakini yote haya yanafanywa chini ya ccm. Tatafute mzizi wa matatizo yetu kwa pamoja, tusitengane kwa udini.Viroba vya maiti, palikua na waraka?..Ben saanane,azory, palikua na waraka?..kushambuliwa lisu?.. trillion 2 kupotea?.. uchaguzi 2020?
Maaskofu wametoa matamko mangapi kwa miaka minne ya Samia na mangapi kwa miaka mitano na nusu kwa magufuli?
Wakati wa magufuli hapakua na watu kutekwa,viroba vya maiti? walisema?.. baada ya tundu kuvurumishiwa risasi, walisema?
Si tulikua tunaona pengo alivyokua na furaha na magu!?
Mnavyotoaga macho kiongozi akiwa muislam!!..eti magu kihaki alikua Bora kuliko Samia,mbwa sana nyie na dini yenu ya kuigiza upendoWewe yawezekana ni punguani au ni mnafiki. Kama ni punguani, pole sana kwa maana hukuamua uwe punguani. Lakini kama ni mnafiki, ulaaniwe sana.
Utawala wa hayati Magu ulipokiuka haki, japo haikufikia wala kukaribia kwa kiwango hiki cha huyi bibi, Maaskofu wa Kanisa Katoliki na KKT, kwa nyakati tofauti walitoa nyaraka na kukemea kwa kauloli. BAKWATA, kwa sababu ni kitengo maalum cha VCM kwaajili ya kuwapumbaza waislam, haikuwahi kutoa kauli yoyote kukemea ukiukaji wa haki.
TEC na KKKT kukemea uvunjifu wa haki na demokrasia wakati wa huyu bibi hauna tofauti na ukemeaji wa huko nyuma, na unaweza kuwa mara nyingi zaidi kwa sababu utawala huu umekuwa wa ukatili mkubwa kuliko utawala wowote Tanzania, Afrika na Dunia. Hakuna mtawala yeyote Duniani amewahi kuua wananchi wake wengi kwa kiwango alichofanya huyu bibi, hivyo tegemea na ukemeaji utakuwa mkubwa zaidi ndani na nje ya nchi.
Hapana, wakati cuf Iko juu, mlikua kwa mkapa mkijamasishana kanisani kumpigia kura,CCM ibakiLakini yote haya yanafanywa chini ya ccm. Tatafute mzizi wa matatizo yetu kwa pamoja, tusitengane kwa udini.