PostGE2025 BAKWATA, Watanganyika tunajua mnatumika kupandikiza hoja ya Udini. Jueni tu hamtaweza kututoa kwenye reli

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Issue ni matamko mangapi ama ni matamko? Unadhani kuna mtu ana muda wa kubalance shobo?

Unauliza au unapigia jibu mstari. Ama Samia naye kaja kufanya unyama kwa niaba ya waisilamu?
We bweka,ila utaendelea kuwa chini ya Samia,au laa omba afe, aingie membe,akiingia membe najua mtatulia
 
Jamaa hamnazo! Wanajua wanatetea uislamu huku mwenzao anapigania tumbo lake na uzao wake tu.
 
Dini kazi yake ni kukemea uovu bila kujali aanefanya ni wa imani gani sidhani kama uislam unafundisha kufumbia macho udharimu
 
Dini kazi yake ni kukemea uovu bila kujali aanefanya ni wa imani gani sidhani kama uislam unafundisha kufumbia macho udharimu
Hawa hawastahili kuitwa Viongozi wa dini. Ni wajasiliamali wanaotumia mgongo wa dini kupata senti kufanya maisha.
 

View: https://www.instagram.com/p/DQ-9CDPDP7n/?igsh=eWdscndqMW5reGVm
 
Kama hatendi haki huyu Samia wako mawaraka yatazidi kuktolewa hata saba mara sabini
 
Kama hatendi haki huyu Samia wako mawaraka yatazidi kuktolewa hata saba mara sabini
Haki gani aliyowanyima?..ndugu yenu mikutano ya nje na ndani aliwapiga marufuku,Samia karuhusu,kafuta kesi za mbowe, maandamano akawapa na askari,tatizo nini?..ajira katoa, miundombinu huduma za afya kajenga mno, shule kajenga sana, mikopo elimu ya juu kawapa hadi diploma,nishati kajenga bwawa,sgr kajenga,brt kajenga,kosa lake nini?!
 
Kama hilo kundi ukiliandalia pilau mbuzi Pepsi barid na ndizi mbivu wanakutetemekea unategemea nn toka kwao???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…