BAKWATA Watoe tamko umri wa mtoto kuolewa

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,905
Reaction score
4,054
BAKWATA wasing'ang'anie kutoa habari za mwezi tu na kama wanavodai wao huwatetea waislamu wote.

Suala la kulazimisha ndoa mpaka miaka 18 ni kinyume na imani ya dini.

Mtu akibaleghe hio ndio alert kuwa mtu husika ameanza kua mtumzima.

Tunaomba mtoe tamko immediately kabla hukumu haijapoa.
 
Kwani mbona serikali inang'ang'ania miaka 15 lakini mahakama yamesema ni miaka 18 kama ilivyo kwenye sheria ya sasa? Chini ya miaka 18 bado anakuwa na utoto mwingi, na hawezi kukata viuno.
BAKWATA wasing'ang'anie kutoa habari za mwezi tu na kama wanavodai wao huwatetea waislamu wote.

Suala la kulazimisha ndoa mpaka miaka 18 ni kinyume na imani ya dini.

Mtu akibaleghe hio ndio alert kuwa mtu husika ameanza kua mtumzima.

Tunaomba mtoe tamko immediately kabla hukumu haijapoa.
 
Jamani bakwata ni taasisi tu haina mamlaka ya kuwasemea waislam wote ..
 
In the 50 states Edit
Every state except Delaware and New Jersey allows underage marriage in exceptional circumstances if one or more of the following circumstances apply:

consent of a court clerk or judge (sometimes the consent of a superior court judge, rather than a local judge, is required)
consent of the parents or legal guardians of the minor
if one of the parties is pregnant
if the minor has given birth to a child
if the minor is emancipated.
So, as of September 2019, in the 37 states that have set a marriage age by statute, the lower minimum marriage age when all exceptions are taken into account, are:[9]

2 states have a minimum age of 14: Alaska and North Carolina.
4 states have a minimum age of 15.
20 states have a minimum age of 16.
10 states have a minimum age of 17.
2 states have a minimum age of 18.
 
Watatoaje tamko wakati waliosema mpaka miaka 18 ndo Bakwata
BAKWATA wasing'ang'anie kutoa habari za mwezi tu na kama wanavodai wao huwatetea waislamu wote.

Suala la kulazimisha ndoa mpaka miaka 18 ni kinyume na imani ya dini.

Mtu akibaleghe hio ndio alert kuwa mtu husika ameanza kua mtumzima.

Tunaomba mtoe tamko immediately kabla hukumu haijapoa.
 
Binti wa miaka 14 ulaya anakuwa anajitambua kuliko binti wa miaka 20 Tanzania

Wenzetu ulaya mtoto anafundishwa Elimu ya jinsia kuanzia ngazi ya familia akiwa mdogo kabisa

Hivi unawajua mabinti wa miaka 14&16 Tanzania,wengi sana wanakuwa hata usafi wa mwili hawewezi kujifanyia

Sasa mtoto km Huyu aingie kwenye ndoa akifikisha miaka 21 wakati anakomaa kiakili na kutambua haki zake za kupendwa na kupenda ndoa itaendelea?
Sheria iweke exception, kama mtu hasomi na yuko tayar kuolewa kwa hiyari yake aolewe tu.

Ulaya kwenyewe wanabadili sheria ya umri wa kua mtu mzima kuja miaka 16, umuweke mtu mtaani miaka 4 kama hasomi na yuko tayar kuolewa ni kwenda kinyume na haki za binadamu.
 
Aiseee ila Elimu ya Tanzania mbovu
In the 50 states Edit
Every state except Delaware and New Jersey allows underage marriage in exceptional circumstances if one or more of the following circumstances apply:

consent of a court clerk or judge (sometimes the consent of a superior court judge, rather than a local judge, is required)
consent of the parents or legal guardians of the minor
if one of the parties is pregnant
if the minor has given birth to a child
if the minor is emancipated.
So, as of September 2019, in the 37 states that have set a marriage age by statute, the lower minimum marriage age when all exceptions are taken into account, are:[9]

2 states have a minimum age of 14: Alaska and North Carolina.
4 states have a minimum age of 15.
20 states have a minimum age of 16.
10 states have a minimum age of 17.
2 states have a minimum age of 18.
 
BAKWATA wasing'ang'anie kutoa habari za mwezi tu na kama wanavodai wao huwatetea waislamu wote.

Suala la kulazimisha ndoa mpaka miaka 18 ni kinyume na imani ya dini.

Mtu akibaleghe hio ndio alert kuwa mtu husika ameanza kua mtumzima.

Tunaomba mtoe tamko immediately kabla hukumu haijapoa. we
Mtume alioa JIMAMA LA MIAKA TISA, sasa unataka BAKWATA waseme Nini Tena?
 
Binti wa miaka 14 ulaya anakuwa anajitambua kuliko binti wa miaka 20 Tanzania

Wenzetu ulaya mtoto anafundishwa Elimu ya jinsia kuanzia ngazi ya familia akiwa mdogo kabisa

Hivi unawajua mabinti wa miaka 14&16 Tanzania,wengi sana wanakuwa hata usafi wa mwili hawewezi kujifanyia

Sasa mtoto km Huyu aingie kwenye ndoa akifikisha miaka 21 wakati anakomaa kiakili na kutambua haki zake za kupendwa na kupenda ndoa itaendelea?
Haki zake ambazo atazitambua akiwa na miaka 21 ambazo hawezi au hazitambuliki akiwa na miaka 15 ni zipi?
 
Muongozo wa Waislam ni Qur an sio Bakwata

Mungu alipoamua Binti avunje ungo na aanze kupata hedhi na Nyege maana yake tayari kapevuka sasa kuna tafiti gani ya Ki Sayansi iliyofanyika kusema miaka 18 anakuwa tayari kapevuka kiakili na miaka 17 na miezi Tisa anakuwa hajapevuka?

Kuna Wadada mpaka miaka 30 bado kichomi akili hazijakaa sawa jee nao waolewe at 30?

Upuuzi wa Wanaharakati

Mama Zetu wameolewa na Miaka 15 na bado walikuwa Mama bora

Waanze na chanjo ya kuahirisha Nyege mpaka miaka 18 otherwise ni upuuzi

Akipata mimba shuleni taratibu zinasema afukuzwe shule halafu taratibu zinasema tena marufuku kuolewa mpaka afikishe miaka 18, sasa hapo katikati atakuwa anafanya nini?
 
Nilimtwaa akiwa na miaka 14 kamili, leo tuko kwenye ndoa ni miaka 48 imetimu. Hajawahi rudi kwao kunishitakia lolote. Mbona wengine waliooa wenye miaka 23 na hawakumaliza 4 yrs weshaachana??
Msiwaumize Bakwata. Nadhani serekali ilikuwa sahihi kabisa. Miaka 15 tosha kabisa. Akiwa kishamaliza kisomo chake cha ngumbaru, machizi wamchukue kwa mipango yote ya desturi zao.
Ichezwe ngoma, tumtoe mwali
 
Kimsingi hii Sheria mpya inayotaka binti aolewe akiwa na umri wa 18 \18+ Itakuwa inawabana baadhi ya Mabinti waliokosa nafasi ya kuendelea na masomo ambalo kundi hili ili lipate salama inabidi liingie kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom