BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,043
Babu shikamoo!Nilimtwaa akiwa na miaka 14 kamili, leo tuko kwenye ndoa ni miaka 48 imetimu. Hajawahi rudi kwao kunishitakia lolote. Mbona wengine waliooa wenye miaka 23 na hawakumaliza 4 yrs weshaachana??
Msiwaumize Bakwata. Nadhani serekali ilikuwa sahihi kabisa. Miaka 15 tosha kabisa. Akiwa kishamaliza kisomo chake cha ngumbaru, machizi wamchukue kwa mipango yote ya desturi zao.
Ichezwe ngoma, tumtoe mwali