chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
sheria za Muammad huko huko Saudia, sio tz yetukatika muongozo wa dini yetu sisi waislam,mtoto akoivunja ungo tu ni halali kuolewa,ata mtume wetu mtukufu MOHAMAD(s.a.w)alimuowa Bi AISHA akiwa na miaka 9 na ndoa ilikuwa ni halali,sasa nyie na sheria zenu haramu mnataka nn jamani?