assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
BAKWATA wasing'ang'anie kutoa habari za mwezi tu na kama wanavodai wao huwatetea waislamu wote.
Suala la kulazimisha ndoa mpaka miaka 18 ni kinyume na imani ya dini.
Mtu akibaleghe hio ndio alert kuwa mtu husika ameanza kua mtumzima.
Tunaomba mtoe tamko immediately kabla hukumu haijapoa.
Hiyo sheria itaongeza supply mtaani hivyo bei ya huduma kushuka sambamba na athari zake mtambuka kuongezeka.
BAKWATA wasing'ang'anie kutoa habari za mwezi tu na kama wanavodai wao huwatetea waislamu wote.
Suala la kulazimisha ndoa mpaka miaka 18 ni kinyume na imani ya dini.
Mtu akibaleghe hio ndio alert kuwa mtu husika ameanza kua mtumzima.
Tunaomba mtoe tamko immediately kabla hukumu haijapoa.
Sheria iweke exception, kama mtu hasomi na yuko tayar kuolewa kwa hiyari yake aolewe tu.
Ulaya kwenyewe wanabadili sheria ya umri wa kua mtu mzima kuja miaka 16, umuweke mtu mtaani miaka 4 kama hasomi na yuko tayar kuolewa ni kwenda kinyume na haki za binadamu.
In the 50 states Edit
Every state except Delaware and New Jersey allows underage marriage in exceptional circumstances if one or more of the following circumstances apply:
consent of a court clerk or judge (sometimes the consent of a superior court judge, rather than a local judge, is required)
consent of the parents or legal guardians of the minor
if one of the parties is pregnant
if the minor has given birth to a child
if the minor is emancipated.
So, as of September 2019, in the 37 states that have set a marriage age by statute, the lower minimum marriage age when all exceptions are taken into account, are:[9]
2 states have a minimum age of 14: Alaska and North Carolina.
4 states have a minimum age of 15.
20 states have a minimum age of 16.
10 states have a minimum age of 17.
2 states have a minimum age of 18.
Nenda Kusini kuanzia Mtwara,Lindi,Masasi mpaka Songea then rudi hapa kutupa mrejesho.Kwani mbona serikali inang'ang'ania miaka 15 lakini mahakama yamesema ni miaka 18 kama ilivyo kwenye sheria ya sasa? Chini ya miaka 18 bado anakuwa na utoto mwingi, na hawezi kukata viuno.
Mtume alioa JIMAMA LA MIAKA TISA, sasa unataka BAKWATA waseme Nini Tena?BAKWATA wasing'ang'anie kutoa habari za mwezi tu na kama wanavodai wao huwatetea waislamu wote.
Suala la kulazimisha ndoa mpaka miaka 18 ni kinyume na imani ya dini.
Mtu akibaleghe hio ndio alert kuwa mtu husika ameanza kua mtumzima.
Tunaomba mtoe tamko immediately kabla hukumu haijapoa. we
Haki zake ambazo atazitambua akiwa na miaka 21 ambazo hawezi au hazitambuliki akiwa na miaka 15 ni zipi?Binti wa miaka 14 ulaya anakuwa anajitambua kuliko binti wa miaka 20 Tanzania
Wenzetu ulaya mtoto anafundishwa Elimu ya jinsia kuanzia ngazi ya familia akiwa mdogo kabisa
Hivi unawajua mabinti wa miaka 14&16 Tanzania,wengi sana wanakuwa hata usafi wa mwili hawewezi kujifanyia
Sasa mtoto km Huyu aingie kwenye ndoa akifikisha miaka 21 wakati anakomaa kiakili na kutambua haki zake za kupendwa na kupenda ndoa itaendelea?