BAKWATA Watoe tamko umri wa mtoto kuolewa

Babu shikamoo!
 
Mwanaharakati aliepigania hio sheria hana tofauti na mtu anaemtoa samaki kwenye maji akidhan kamuokoa.

Na hayo ni matokeo ya kukurupuka tu kwenye maswala ya muhimu kama haya. Kwa sheria ya sasa binti alie kidato cha pili(13yrs to 15yrs) akipewa mimba basi hawezi endelea na shule na pia sheria ya sasa bado inamkataza kuolewa. Huyo akikaa mtaani kusubiria hio 18 atakua ameshaliwa sana na anaweza hata kudharaulika na akakosa mtu wa kumuoa.

Af wanavyoifurahia hio sheria kama vle iko sawa lkn hawajui kwamba wanajiharibia wenyewe. Hii impact yake itakua ni kuongeza makahaba tu kitaa coz kama msichana mwenye umri 13+ hasomi na hajaolewa af anakaa tu mtaani unategemea nn hapo.

Mabaharia hoyeeee!
 
Aiseee
Kwani mbona serikali inang'ang'ania miaka 15 lakini mahakama yamesema ni miaka 18 kama ilivyo kwenye sheria ya sasa? Chini ya miaka 18 bado anakuwa na utoto mwingi, na hawezi kukata viuno.
 
Na kibaya zaidi aliyempa mimba afungwe miaka 30.
 
Mnataka wakimaliza shule wana 14 na tayari wamepevuka waanze kuuza k mitaani mpaka wafikishe miaka 18 ndo waolewe? Ni upuuzi hakika.
 
unamzungumzia binti wa ileje,mafinga,siyo binti wa pwani(tanga,pwani,dar,lindi,mtwara)..mtu amalize la saba akiwa 14,inabidi atiwetiwe mtaani hadi afike 18 ndo aolewe,yaani akishapata uzoefu
 
Cha ajabu hawa wanaume wanaotaka umri uwe 14 years hawatataka mabinti zao waolewe huo umri tena ukipeleka posa kuoa binti yake wa 14 yrs utatolewa na panga ila yeye anataka kuharibu future ya mtoto wa mwingine. Watu wako selfish sana
 
Naona wengi ni kwa sababu ya Dini, eti hii sheria wanaona kama ni tusi kubwa kwa mtume Muhammad
 
unamzungumzia binti wa ileje,mafinga,siyo binti wa pwani(tanga,pwani,dar,lindi,mtwara)..mtu amalize la saba akiwa 14,inabidi atiwetiwe mtaani hadi afike 18 ndo aolewe,yaani akishapata uzoefu
Hii sheria mpya inaenda kuongeza idadi ya single mother kwa kasi ya 4G.
 
Naona wengi ni kwa sababu ya Dini, eti hii sheria wanaona kama ni tusi kubwa kwa mtume Muhammad
Sio dini ni ubinfsi trust wengi hawatakubali binti zao waolewe huo umri nakumbuka jirani yangu alikuwa na wake 3 ila binti yake kipenzi alivyotaka kuolewa kama mke wa 2 alipinga vibaya sana akimwambia ndoa za mitala ni mbaya sana hatakiwa na amani maisha ni mwake kote alikataa kata kata
 
Wanaume wa kiislamu mnanishangaza sana. Hizo element za pedophilia zinawasumbua. Mtoto wa miaka 14 anakutamanisha nini wewe jibaba wa 30+ kweli? Ndo maana kesi za kulawiti na kubaka watoto madrasa haziishi. Sio kama nawakashifu hapana. Sijawahi kusikia papa/ padre/mchungaji wa kikristo analazimisha au kushawishi watoto waolewe. Mnayumba sana.
 
Mi nadhani sheria ingeweka msisitizo katika kufanya matusi, sio kuolewa.
 
katika muongozo wa dini yetu sisi waislam,mtoto akoivunja ungo tu ni halali kuolewa,ata mtume wetu mtukufu MOHAMAD(s.a.w)alimuowa Bi AISHA akiwa na miaka 9 na ndoa ilikuwa ni halali,sasa nyie na sheria zenu haramu mnataka nn jamani?
 
Mwanamke anatakiwa aolewe akiwa anajitambua kwa kuridhia kuishi na mwenza wake

Mtoto wa miaka 14 kuolewa ni ufisadi kwenye ndoa Kwasababu anakuwa hajakomaa kiakili
Kuna 25+ years hawajakomaa kiakili bado pia na wapo kwenye ndoa.

***siungi mkono hoja yakuolewa na 14 years****
 
Kimsingi hii Sheria mpya inayotaka binti aolewe akiwa na umri wa 18 \18+ Itakuwa inawabana baadhi ya Mabinti waliokosa nafasi ya kuendelea na masomo ambalo kundi hili ili lipate salama inabidi liingie kwenye ndoa
Hawa wanaharakati wanafikir kuolewa ni fashion tu hawaangalii takwa la kifamilia na heshima
 
Bakwata ipingane na sheria za nchi?
Chini ya miaka 18 hawapigi kura. Sheria inaona no wadogo. Lakini ndoa iwe halali under 18?
 
Mudi si kuna katoto ka miaka 6 aliwahi kukaoa?
 
Hahaa wananishangaza sana, Kuna wengine hapa jukwaani wanasema elimu inamuharibu mtoto wa kike, mtoto wa kike anatakiwa afundishwe tu jinsi ya kwenda kumtumikia mume tu, lakini cha ajabu watoto wao wa kike wanawapeleka hadi vyuo vikuu
 
Cha ajabu hawa wanaume wanaotaka umri uwe 14 years hawatataka mabinti zao waolewe huo umri tena ukipeleka posa kuoa binti yake wa 14 yrs utatolewa na panga ila yeye anataka kuharibu future ya mtoto wa mwingine. Watu wako selfish sana
Future ? Are you serious ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…