thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 850
- 1,134
Yaani wanna ujinga mwingi sana.Tatizo ni elimu dunia ni kidogo sana kwa viongozi wa bakwata, wanaishi kalne ya saba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wanna ujinga mwingi sana.Tatizo ni elimu dunia ni kidogo sana kwa viongozi wa bakwata, wanaishi kalne ya saba
Kwamba mtu akiingia Casino anakua shoga???Endelea kusapoti USHOGA [emoji304] tushakujua shoga tulia sasa acha kutaka wanaume Kwa nguvu
Kama hapo ni hatari maana ni kama kiwanda cha mashoga wanazalishwa
Hapo bado hujaenda sinza,tbt duh
Ova
Hivi kuanzia pale nyumba alipokuwa anaishi mufti na ndy kijiwe chake mpaka sahv, hapo kwenye pub ya dida ni nyumba ngapiUKIKATAA CASINO HILO KUFUNGWA MOJA KWA MOJA UNASAPOTI USHOGA [emoji304]
NA KITU AMBACHO HAWAJUI KWENYE CASINO LOLOTE HAWAZUILIWI KUINGIA MASHOGA [emoji304] YAANI UKIJICHANGANYA MWANAUME KWELI KWENDA KASINO KAMA WANAONA HAUNA KITU UTAZUILIWA
ILA AKIENDA SHOGA[emoji304] HAPO MLANGONI HAKUNA MTU ANAWEZA KUMZUIA KUTOKANA NA SHERIA ZAO ZA USHOGA [emoji304] NA MAKASINO
uayo haki ya kwenda mahakamani kupinga au kwa watu wamazingila hili viondolewe lakini ushie hapo tu na makanisa yanayo kesha kwa vilio na miziki watu awalali
Tena sio mbali na makao yao makuu Kinondoni, wamejaa malaya na mashoga wanajiuza barabarani,Akiona wanacheza kamari wakati ni yeye alikuwa anawafundisha madrasa tangu wakiwa wadogo, basi hiyo ni failure kwake.
Pamoja na hayo, hakuna msikiti unaokwazwa na hakuna jirani aliyelalamika.
Akawaone na dada poa hapo mjini
ndio we mjinga ili uamini kuwa wewe mjinga nilicho kiandika kimekushinda kukisoma na kuelewe umekimbilia kukosoaKajifunze kuandika ndio uje kujibishana na mimi.
hao wazee wapenda sifa tu hawana loloteKama Kuna kitu sielewi...hivi pale mjini upande huu kanisa la kkkt upande huu casino mbona sijawahi sikia wakilalamika ..Mbona mtaani makampuni ya betting yamejaa na vijana wanajazana humo kutwa Zima wanabet hawasemi kitu ,Kwa hiyo mmonyoko wa maadili Kwa vijana wadogo ni sawa ila usumbufu Kwa wakubwa ndio kipaumbele. Pia Hii casino la palm village sidhani kama liko rough watu kuingia na kutoka Kwa kiwango kikubwa wanachosema maana wanaoenda hapo kucheza sio watu wa Hali ya chini kusema watajazana na usumbufu...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kinacho takiwa ukifahamu nini makusudio yangu hi tabia yako ya kimama ya kukosoa miandio peleka huko kwa wapaka wanjaAndika vizuri kwanza
unaulizwa nawe unauliza si umejimwambafai kuwa wewe ni msomi wa elimu dunia au sio wewe?Naomba kujua maana ya casino..... Yaani casino ni nini?
hakuna al hajj msitafu ni ushenzi tuKama wanalipa Kodi,wanatoa ajira,hawawasumbui--shida iko wapi?
na hao wastaafu si ndo ma al-hajj?
Hivi kuanzia pale nyumba alipokuwa anaishi mufti na ndy kijiwe chake mpaka sahv, hapo kwenye pub ya dida ni nyumba ngapi
Hivi bakwata hapo kinondoni si wako jirani na pub ya mdg wang ftm mchina
Hivi napo hawayaoni madudu pia hapo
Najuwa casino kuna ujinga mwingi unafanyika Sikatai ,hizo ndy casino
Ova
KWENYE UZI HUU NDIO UTAWEZA UKAHESABU MASHOGA [emoji304] KUPITIA COMMENT MASHOGA KIBAO HUMU KAMA UNABISHA HESABU COMMENT ZA WANAOPINGA HILO CASINO KUFUNGWA
MASHOGA [emoji304] NYOMI YAANI
TANZANIA KWA WINGI HUU WA MASHOGA USHOGA HAUWEZI KUISHA- HAYA WANAUME KAMA MABINTI ENDELEENI NA JITIHADA ZENU ZA KUENDELEZA USHOGA [emoji304]
Wanaacha kupigia kelele mabonanza yanayomaliza vijana huku mtaani wanajipendekeza kwa viongozi wastaafu. Viongozi wa dini na unafiki huwezi vitenganisha kabisa.
WA-TANZANIA walio wengi hawana EXPOSURE ya maisha na pia elimu wanaweza kuwa wame kwenda UN au COLLEGE lkn wengi wao wanakuwa hawana ufahama wa mambo mengi ndio maana hata taasi nyingi za serikali zina watendaji wa hivyo.
CASSINO ni biashara mbaya hasa na ndio kuna kila aina ya uharamia na sikila NCHI inaruhusu hii biashara hata huku DUNIA ya kwanza huwezi pewa LESENI HOVYO wanajua mambo yanayo fanyika huko hata hao WACHINA kwao huko CHINA hakuna sheria ya kuwa na CASSINO.
LKN wacha wa fungue hayo MACASSINO ya kutosha ila mpate Akili kidogo watanzania.
Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app