BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

Endelea kusapoti USHOGA [emoji304] tushakujua shoga tulia sasa acha kutaka wanaume Kwa nguvu
Kwamba mtu akiingia Casino anakua shoga???
Kwa akili hii hata nguruwe anakuzidi kufikiri.
 
Kama hapo ni hatari maana ni kama kiwanda cha mashoga wanazalishwa
Hapo bado hujaenda sinza,tbt duh

Ova

UKIKATAA CASINO HILO KUFUNGWA MOJA KWA MOJA UNASAPOTI USHOGA [emoji304]

NA KITU AMBACHO HAWAJUI KWENYE CASINO LOLOTE HAWAZUILIWI KUINGIA MASHOGA [emoji304] YAANI UKIJICHANGANYA MWANAUME KWELI KWENDA KASINO KAMA WANAONA HAUNA KITU UTAZUILIWA

ILA AKIENDA SHOGA[emoji304] HAPO MLANGONI HAKUNA MTU ANAWEZA KUMZUIA KUTOKANA NA SHERIA ZAO ZA USHOGA [emoji304] NA MAKASINO
 
Hivi kuanzia pale nyumba alipokuwa anaishi mufti na ndy kijiwe chake mpaka sahv, hapo kwenye pub ya dida ni nyumba ngapi
Hivi bakwata hapo kinondoni si wako jirani na pub ya mdg wang ftm mchina
Hivi napo hawayaoni madudu pia hapo
Najuwa casino kuna ujinga mwingi unafanyika Sikatai ,hizo ndy casino

Ova
 
uayo haki ya kwenda mahakamani kupinga au kwa watu wamazingila hili viondolewe lakini ushie hapo tu na makanisa yanayo kesha kwa vilio na miziki watu awalali

Mwisho wa siku tunarudi pale pale, kama mtu hajavunja sheria za nchi basi aachwe na mishe zake...
 
Akiona wanacheza kamari wakati ni yeye alikuwa anawafundisha madrasa tangu wakiwa wadogo, basi hiyo ni failure kwake.

Pamoja na hayo, hakuna msikiti unaokwazwa na hakuna jirani aliyelalamika.

Akawaone na dada poa hapo mjini
Tena sio mbali na makao yao makuu Kinondoni, wamejaa malaya na mashoga wanajiuza barabarani,
Wanarukia kwa kamari tena inayochezwa ndani, huenda hata watoto wa hao viongozi wastaafu ndio wateja wakubwa wa hiyo casino.
Tuishi kwa kuvumiliana,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
hao wazee wapenda sifa tu hawana lolote
 
Kwani hilo ni eneo tengefu kwa ajili ya makazi rasmi ya viongozi wastaafu linalolindwa na sheria, ili hoja yao iweze kupata nguvu zaidi, au taratibu za mipango miji katika eneo hilo haziruhusu kuwepo kwa casino hiyo...
 
Ushuani kasino sweken makokoro aka mchina aka dubwi 😆
 

Hapo hawezi kudmu kamati ishakaa chini soon tu anaondoka hapo
 
Wenyewe hawajalalamika, sasa ww ndo msemaji wao?[emoji1]
 

Kwahiyo umekaa hapo unasubiri mashoga yaishe,pole sana.

Get a job.
 

Walipa kodi,wasibugudhiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…