Balaa jingine, Wataalamu wadai Gonorea halitibiki tena…..!

Balaa jingine, Wataalamu wadai Gonorea halitibiki tena…..!

katika wadudu ambao ni rahisi kufa wa gono watakuwa wanaongoza. tanzania imezoeleka kidonge kimoja cha siplofloksasini ya 500mg kinawamaliza kabisa lakini wanatengeneza usugu kila leo, wenzetu waliacha kutumia siplo toka 2002 baada ya kuona wadudu ni sugu. pia wamekuwa sugu kwa penicillins na tetracycline lakini wanakufa kirahisi mno ukichoma sindano moja tu ya ceftriaxone. kwa hiyo wandugu msitishike gono is under control. ukipiga sindano usisahau kuongeza dox kwa ajili ya chlamydia.

Kwa hiyo Red Giant we unashauri kina mzabzab waendelee kugegeda hovyo sio???
Kwanini usiwape ushauri chanya ili wawe salama zaidi aisee??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Gono inayoambukizwa toka kwa mbwa huwa ngumu sana kutibika.Hata hapa Tz wako wanaougua hii.Nilishangaa jinsi wabongo walivyobuni tiba.Wanachoma dawa ya kutibu ng'ombe inaitwa OTC inj.Ila huenda hata hii inaweza kudunda.Mwenyezi Mungu atunusuru!
Hapa sasa umeongea wamarekani wengi sana wanazini na mbwa (Mimbwa kwasababu ni mingi) na watu wengi sana wameanza kuwaiga kwingineko duniani mtindo wa kufanya mapenzi na wanyama unaanza kuwakolea wanadamu baada ya kumaliza tigo, wanaume kwa wanume sasa starehe imehamia kwa wanyama kweli wanadamu ni wanyama wa ajabu sana utashi wao sasa unaanza kupotea
 
Sijui lina ua baada ya muda gani, sema lina kero za hapa na pale.
Nakumbuka zamani kipindi kile UDA wana mabasi aina ya Mercedes Benz, tulikuwa ndani ya UDA likapita kwenye korongo moja kubwa kwa ule mtikisiko kichwa cha m.b.o.o cha abiria aliyekuwa amesimama karibu kikadondoka, watu tukashtuka mno, jamaa akatuambia alianza kuliwa na gono muda mrefu na sasa ndio kichwa kimekatika.
Kwa hiyo sio ugonjwa wa kuudharau.
Hii peleka jukwaa la jokii pia mkuu maana nimechela sana
 
Hii ni hatari na pigo kubwa sana kwa figganigga mzee wa kunyakua wale wa Kimboka, Kisuma(Sugar Ray Tmk), Ambiance Kijitonyama Afrika Sana na kwingineko
hahahahaaaa....!!. Bujibuji na zile speed zote za kutoka white party sikujua kama unaenda kuishia kwa ben kinondoni. nlijua labada usiku ule unaenda kahama. pale kama hukuondoka na gono utakua umeondoka na kaswende. dawa hakuna ndo hivyo tena. pole sana. mia
 
Last edited by a moderator:
Numbers don't lie, better yet they don't evolve.

But they are still a theory. Like evolution.

Kubishia uhalisi wa evolution because "it is just a theory" ni sawa na kubishia uhalisi wa numbers for the same reason.

Unabishia uhalisi wa namba pia?
 
Niliwahi kusoma mahali kuwa hawa watu wana mpango mkubwa sana na dunia na wanaoikalia.
'
Wakati wanatengeneza dawa za kutibu maradhi haya walitemgeneza ili zifike mahali zishindwe kazi
'
Zikishashindwa kazi watuletee maneno yao kuwa evolution ni fact kwa ushahidi huo.
'
Habari hii inanishawishi nianze kuamini kama ni njama!
 
Mtambuzi free drug zina matatizo sana kwenye utendaji kazi wake hasa kwenye pharmacokinetics, drud metabolism and bio-availability. iko hivi dawa nyingi sana kwasasa zina prove failure hasa antibiotics kama vile tetracycline na ampicilline. tatizo kubwa linatokana na bioavailability na crossing of some barriers especially blood-brain barrier.

sasa unakuta drug metabolism iko poor, ukija kwenye crossing ya barriers bado kuna limitation zake na sasa ukienda kwenye bio-availability na yenyewe kuna limitation zake. haya yote yanaifanya free drug ingwa ina active ingredients za kuweza kuponya ila haziwez kuwa na dose staili ili ziweze kutibu. ndio maana sasa dunia imeamia kwenye ulimwengu wa NANOMEDICINE na hapa nia ni kuongeza uwezo wa dawa kutumika kwa dose inayotakiwa kwa kulenga target tu. yani ina ongeza value kwenye active ingredients zilizoko kwenye free drug na kuzifanya ziwe na uwezo wa kwenda kwenye target na kuponya ama kuua vijidudu vya magonjwa instead ya kuzunguka mwili mzima kama zilivyo free drugs.

anyways ni shule ndefu sana nikianza hapa tutakesha but naamini utakuwa umepata idea kwann wanasema ivyo.

Sijui kama wote tutakuwa pamoja hapa. Utaalamu mtupu umetumika kutoa maelezo hapa....
 
Ni hathar gan m2 anapata baada ya kupata hyo pangusa na anaweza kupoteza maisha
 
But they are still a theory. Like evolution.

Kubishia uhalisi wa evolution because "it is just a theory" ni sawa na kubishia uhalisi wa numbers for the same reason.

Unabishia uhalisi wa namba pia?

Let's get all philosophical about it then.

What is not a theory in this world?

Even existence itself is a theory.
 
Niliwahi kusoma mahali kuwa hawa watu wana mpango mkubwa sana na dunia na wanaoikalia.
'
Wakati wanatengeneza dawa za kutibu maradhi haya walitemgeneza ili zifike mahali zishindwe kazi
'
Zikishashindwa kazi watuletee maneno yao kuwa evolution ni fact kwa ushahidi huo.
'
Habari hii inanishawishi nianze kuamini kama ni njama!

Ulisikia wapi?

"Hawa watu" ni kina nani?

Wewe na kambi yako mmefanya nini kutengeneza a conspiracy free alternative?
 
Let's get all philosophical about it then.

What is not a theory in this world?

Even existence itself is a theory.

If everything is a theory. There is no non-theory to compare with theory and make theory theory.

If everything is a theory. Nothing is a theory.

The circle comes full at 360 degrees. Which is the same point as 0 degrees.

If everything is a theory, you can't fault evolution on the base that it is a theory.
 
Dah!
'
Kiranga bana!
'
Kwenye suala la maradhi na tiba "Hawa watu" si ndio wanaohusika?
'
Au hujui wenye jukumu la kufanya tafiti ya maradhi na kuipata dawa?
'
Kama hujui basi wanaohusika ni "Hawa watu"!
 
Last edited by a moderator:
Dah!
' Kiranga bana!
'
Kwenye suala la maradhi na tiba "Hawa watu" si ndio wanaohusika?
'
Au hujui wenye jukumu la kufanya tafiti ya maradhi na kuipata dawa?
'
Kama hujui basi wanaohusika ni "Hawa watu"!
 
Last edited by a moderator:
Then you fault everything. Including your faulting of everything.

A nihilistic contradiction.

I don't fault.

Mine is skepticism.

The only difference is its level.

The number(s) theory is more convincing than the theory of evolution.
 
Back
Top Bottom