gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
muarobaini una quinine ndani yake ambayo ni antimalaria, ila hii active component iko pamoja na toxic chemicals nyingine nyingi sana ndio maana huwa haruhusiwi mtu kuinywa kavu kavu ingawa huku mtaani watu hunywa tu bila kujua. kilichofanyika walinakili strucutre ya quinine kutoka kwenye mwarobaini na kutengeneza convetional compound at lab level na ndio inayotumiwa sasa.Sio kwamba natoka nje ya mada...
hebu nieleze kuhusu Muarobaini, inadaiwa au niseme imethibitika kutibu malaria na maradhi mengine yapatayo 40, (hayumkini ndio maana ukaitwa muarobaini) mbona naambiwa dawa za malaria zinatokana na mmea wa cinchona (sijui kama niko sahihi, maana hizi habari ni za vijiwe vya kahawa) je Muarobaini umeshawahi kufanyiwa extract ili kupata component inayoweza kutibu japo maradhi ya aina mbili?
kwasababu ya resistance ya hawa plasmodium basi imebidi iwepo combined formula ndio dawa mseto sasa yenye dawa 3 lkn na yenyewe bado ina changamoto kwenye bio-availability na metabolism so sasa natafitiwa kwa kuwekewa polymers kama nanoa carriers ili iweze kupelekwa kwenye target na zaid iweze ku cross blood - brain barrier na parasite barrier.pia kutarget ili kuweza kumuua plasmodium akiwa kwenye first life cycle yaani kwenye vector gut.