neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,849
- 2,132
katika wadudu ambao ni rahisi kufa wa gono watakuwa wanaongoza. tanzania imezoeleka kidonge kimoja cha siplofloksasini ya 500mg kinawamaliza kabisa lakini wanatengeneza usugu kila leo, wenzetu waliacha kutumia siplo toka 2002 baada ya kuona wadudu ni sugu. pia wamekuwa sugu kwa penicillins na tetracycline lakini wanakufa kirahisi mno ukichoma sindano moja tu ya ceftriaxone. kwa hiyo wandugu msitishike gono is under control. ukipiga sindano usisahau kuongeza dox kwa ajili ya chlamydia.
Kwa hiyo Red Giant we unashauri kina mzabzab waendelee kugegeda hovyo sio???
Kwanini usiwape ushauri chanya ili wawe salama zaidi aisee??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Last edited by a moderator: