Huko kutwa,matamasha,ya wakata mauno mara sijui watu wanakimbiza upepo....Road Accident is about Man made
Pole Sana .
Serikali imelala Sana hiyo barabara inahitaji kuwekwa sawa.
Hizo mbeya marathon kwanini msiachane nazo mkajenga barabara
Moja ya sehemu nazoziogopa ni hapo na kule Mlima Nyoka.Huwa navizia mida ya kupita kule.Eneo baya sana lile
Hakuna namna serikali itoe tu kibunda Cha maana barabara ya maana itengenezwe pale,yani hata ukiona gari imefeli inakufwata pale hakuna utakapokimbilia