Balaa la kuazimisha gari!!!

Next time room unadeki then unamwagia maji ya chumvi huku ukikemea roho chafu
 
Hahahah leo tu Kuna bwna kajifanya mwamba wa magari ya matual bas boss mmoja kapaki vibaya akaitwa aje azogeze ili mtu mwingine atoe gari bas boss kamuita kijana ake anuamini akalijeuza Kwan ss wengine tunaonekana hatukui magar hya ya matual bas jamaa kaingiaa kwa wengee lake kuingia kawasha mm Niko namtazamatu Cha kwaza alikrudi rivers kwa kas pasipo kutazma kuwa Kuna gari pembeni aisee aloo alilibutua gari la watu mlango wote kaushusha chini wa vanguard namtazamatu tu alivyo Rudi mbel kwa wengee Tena akliibutuaa ist nyingine[emoji23][emoji23] dah acha kbsa magar ya kuazimisha mm huwa sipendi kabsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umenikumbusha nimewai kuazima gar ya mshikaji wangu kwenda kufanyia ngono

Kbla hat sijafika eneo la tukio nakatka kurudi rivers ili nipaki vzr aloo nilibutua taa nzima ya nyuma hasara kutafuta taa tabata nzima had Uganda kwani gar zenyewee Ni hz vistaa balah

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Gari ya Matual ndio inakuaje hio mkuu?
 
Pole mkuu 😂😂😂
 
2010 Mwana aliipigisha mzinga gari yangu, tukafanya manuva tukaitoa police tukaipeleka mpk garage na huo ndio ukawa mwisho wa yeye kujihusisha na hio Gari(hakuchangia gharama za garage hata sh. 1) aliona nitaipambania.

Baada ya kama wiki 3 akaja akiniomba ushauri Ni Gari gani anunue kutoka Japan,nikamshauri na kumsaidia process ya kununua huko be forward(Mark X) kiroho Safi,Muda huo Niko natembeza pumbu zangu kwa miguu Gari bado iko garage au Muda mwingine Nilikua natumia kimeo kilikua kimepaki home(kilikua na shida ya gearbox) cha rav 4 kipisi kusogeza nacho siku mdogo mdogo.

Gari ilipona Ila Gari ikishapata ajali hua mzuka unakua umeisha,niliiuza kwa Bei ya kutupwa na yule mwana tangu Gari imeenda garage,nimeiuza mpk na leo hajawahi kuniuliza khs Ile Gari na bado Ni mwana tu mpk leo.

Lkn lesson learnt BIG TIME.
 
Dah nmerud home jion wife ananibia kalikwangua gari kidogo alipokuwa analitoa nje …….nlikaa nje kama lisaa hasira zipungue nsije mchenjia…..inauma sana wazeee[emoji28][emoji28] simuachii tena ndinga
[emoji23]
 
Hawa nao,mi wife kuna wakati nilikuwa na CR40 alikuwa anatoa nje akalimenya kwa ubavuni, nikamuuliza akajibu "baba nanii hilo geti dogo bana itabidi ulitanuege" [emoji23][emoji23][emoji23]
Simple ivo wala hana habari
[emoji23][emoji23]
 
Aya mambo sio poa yanachekesha ila omba yaaikukute[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…