Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu!
Brooo, niazime gari nitaweka mafuta 😂😂
Jamaa anakimbiaga mby, ukikaa mbele utapiga breki mpk basMwamba umlimuazimisha akapandishwa mizuka ili amalize kisahani atambe[emoji16]
Next time room unadeki then unamwagia maji ya chumvi huku ukikemea roho chafuMwaka 2017 nilifungua salon ya kiume mitaa yetu kipindi hicho hapakuwa na salon nyingine Kwa zaidi ya Mita 700 kutoka pale ambapo nafanya biashara.
Sasa ikija ishu ya kinyozi kufanya NGONO ndani ya salon na alikuwa analala Hadi asubuhi na wanawake nakumbuka biashara ilikuwa Kwa kipindi kifupi Sana cha miezi 8
Shukran mkuuPole sana mkuu!
Hasara Roho utatafuta jingine!!
Hahahah leo tu Kuna bwna kajifanya mwamba wa magari ya matual bas boss mmoja kapaki vibaya akaitwa aje azogeze ili mtu mwingine atoe gari bas boss kamuita kijana ake anuamini akalijeuza Kwan ss wengine tunaonekana hatukui magar hya ya matual bas jamaa kaingiaa kwa wengee lake kuingia kawasha mm Niko namtazamatu Cha kwaza alikrudi rivers kwa kas pasipo kutazma kuwa Kuna gari pembeni aisee aloo alilibutua gari la watu mlango wote kaushusha chini wa vanguard namtazamatu tu alivyo Rudi mbel kwa wengee Tena akliibutuaa ist nyingine[emoji23][emoji23] dah acha kbsa magar ya kuazimisha mm huwa sipendi kabsa
Gari langu la kwanza lilikuwa ni carina niliipenda sana muda mwingi kivulini nalifuta vumbi na kitambaa laini, smtms naliangalia mpaka natabasam [emoji16] automatically
Laaaahaulaa balaa siku hiyo nimelewa mwamba akanimbia niazimishe ndinga nakuletea chapu kwa wenge la konyagi nikampa.(siazimagi la mtu wala sipendi kutoa gari langu)
Kesho yake napata taarifa mwamba kapinduka,kwenda mcheki yupo ICU.
Kwenda tazama ndinga daaaah! gari limepondeka kiasi kwamba unaweza kulibeba katika jaba [emoji23][emoji23]
Je ulishawahi kupata balaaa gani baada ya kuazima/ kuazimisha gari.. share nasi
Phoenix au Swala mkuu?Nakumbuka baiskeli tu, enzi hiyo naishi Tanga na baiskeli ilikuwa ndio njia pekee ya kunifikisha na kunitoa shule...
Jamaa aliirudisha ikiwa imekata mnyororo na kipindi hiyo ni wakati wa mitihani, mguu ulinihusu kwa wiki nzima...
Umenikumbusha nimewai kuazima gar ya mshikaji wangu kwenda kufanyia ngonoHakuna kitu kinaharibu na kuchakaza gari haraka kama kutumiwa na mikono mingi
Kila mtu ana uendeshaji wake.. Kwahiyo kila ukimpa mmoja atafanya settings zake nknk . lakini mbaya zaidi ni ishu za kiroho hasa kumpa mtu gari halafu akaenda kubebea matunguli ama kufanyia ngono ndani yake! Hakuna nuksi kubwa kama hiyo
Gari ya Matual ndio inakuaje hio mkuu?Hahahah leo tu Kuna bwna kajifanya mwamba wa magari ya matual bas boss mmoja kapaki vibaya akaitwa aje azogeze ili mtu mwingine atoe gari bas boss kamuita kijana ake anuamini akalijeuza Kwan ss wengine tunaonekana hatukui magar hya ya matual bas jamaa kaingiaa kwa wengee lake kuingia kawasha mm Niko namtazamatu Cha kwaza alikrudi rivers kwa kas pasipo kutazma kuwa Kuna gari pembeni aisee aloo alilibutua gari la watu mlango wote kaushusha chini wa vanguard namtazamatu tu alivyo Rudi mbel kwa wengee Tena akliibutuaa ist nyingine[emoji23][emoji23] dah acha kbsa magar ya kuazimisha mm huwa sipendi kabsa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pole mkuu 😂😂😂Umenikumbusha nimewai kuazima gar ya mshikaji wangu kwenda kufanyia ngono
Kbla hat sijafika eneo la tukio nakatka kurudi rivers ili nipaki vzr aloo nilibutua taa nzima ya nyuma hasara kutafuta taa tabata nzima had Uganda kwani gar zenyewee Ni hz vistaa balah
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji23]Dah nmerud home jion wife ananibia kalikwangua gari kidogo alipokuwa analitoa nje …….nlikaa nje kama lisaa hasira zipungue nsije mchenjia…..inauma sana wazeee[emoji28][emoji28] simuachii tena ndinga
[emoji23][emoji23]Hawa nao,mi wife kuna wakati nilikuwa na CR40 alikuwa anatoa nje akalimenya kwa ubavuni, nikamuuliza akajibu "baba nanii hilo geti dogo bana itabidi ulitanuege" [emoji23][emoji23][emoji23]
Simple ivo wala hana habari
Kinachozungumziwa hapa ni gari kuaribika hiyo ya ICU ni muendelezo wa storyNn kilikuumiza zaidi? Rafiki yako kuwa icu au gari lako 😀 .
[emoji23]Ukimuazima mtu gari basi tegema meseji za "Mkuu ingia Whatapp".
Aya mambo sio poa yanachekesha ila omba yaaikukute[emoji23]Hahahah leo tu Kuna bwna kajifanya mwamba wa magari ya matual bas boss mmoja kapaki vibaya akaitwa aje azogeze ili mtu mwingine atoe gari bas boss kamuita kijana ake anuamini akalijeuza Kwan ss wengine tunaonekana hatukui magar hya ya matual bas jamaa kaingiaa kwa wengee lake kuingia kawasha mm Niko namtazamatu Cha kwaza alikrudi rivers kwa kas pasipo kutazma kuwa Kuna gari pembeni aisee aloo alilibutua gari la watu mlango wote kaushusha chini wa vanguard namtazamatu tu alivyo Rudi mbel kwa wengee Tena akliibutuaa ist nyingine[emoji23][emoji23] dah acha kbsa magar ya kuazimisha mm huwa sipendi kabsa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app