Balaa la kuazimisha gari!!!

Balaa la kuazimisha gari!!!

2010 Mwana aliipigisha mzinga gari yangu, tukafanya manuva tukaitoa police tukaipeleka mpk garage na huo ndio ukawa mwisho wa yeye kujihusisha na hio Gari(hakuchangia gharama za garage hata sh. 1) aliona nitaipambania.

Baada ya kama wiki 3 akaja akiniomba ushauri Ni Gari anunue kutoka Japan,nikamshauri na kumsaidia process ya kununua huko be forward(Mark X) kiroho Safi,Muda huo Niko natembeza pumbu zangu kwa miguu Gari bado iko garage au Muda mwingine Nilikua natumia kimeo kilikua kimepaki home(kilikua na shida ya gearbox) cha rav 4 kipisi kusogeza nacho siku mdogo mdogo.

Gari ilipona Ila Gari ikishapata ajali hua mzuka unakua umeisha,niliiuza kwa Bei ya kutupwa na yule mwana tangu Gari imeenda garage,nimeiuza mpk na leo hajawahi kuniuliza khs Ile Gari na bado Ni mwana tu mpk leo.

Lkn lesson learnt BIG TIME.
Pole San mm singeweze

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Smtms nikupotezea tu, unaachia nafsi Mungu si Athumani
 
Mimi bana mwaka 2021 nilisemaga kuwa nataka mwaka huu nitembee na full tank, nilichokuwa nafanya natembea then najazia mafuta. Sasa nna washikaji zangu wawili mmoja ana rav 4 old model na huyu mwingine hana. Huyu ambae hana alikuwa na rafiki yake ambae sisi wawili(mimi na huyu wa rav 4) tulimjua kupitia mshikaji wetu. Sasa bana huyu mshikaji wake na mshikaji wetu hawa watu walikuwa wanakunywa sana pombe hasa hizi ngumu. Kuna siku mshikaji alimuomba jamaa mwenye rav 4 gari akafuate demu aje nae bar(mshikaji wa rav 4 alikuwa hiyo bar anaangalia game ya Arsenal). Mshikaji alivyopewa ile gari kumbe ilikuwa inachemsha lakini kwenye dashboard haionyeshi. Basi Gari ikawa imepasua block na vitu vingine. Yule mshikaji aliyeiazima hakujishughulisha kwa chochote hata kusaidia ile iende Garage tu. Tukapambana na mshikaji hadi Gari ikafika Garage na ikabidi jamaa aagize engine nyingine, hilo likapita. Sasa tumekaa kama miezi miwili jamaa akaja tena anataka gari baba ake anaumwa, akamfuata tena mshikaji wa Rav 4 jamaa akamwambia gari yake mkd wake ametoka nayo. Ikabidi aje kwangu, tukashauriana na mshikaji kama nimpe au nisimpe, ila tukaona kwa kuwa baba anaumwa acha tumpe hivyo nikampa ila nikawa nimecheki ODO pale na nikaset trip pale. Wakati nampa nikamwambia gari yangu ina full tank naomba irudi na full tank. Jamaa alizunguka km 276 halafu cha kushangaza akaweka mafuta ya 10,000/= na amerudisha Gari ina chupa za heineken kibao. Kuja kufuatilia kumbe mshikaji hakuchukua gari kwa ajili ya baba ake kuumwa bali mademu. Nili mind sana na nikamwambia ametumia mafuta yangu anirudishie ila huwezi amini hakurudisha. Nikapiga kimya. Amekaa kama wiki mbili akataka tena gari aisee nilikuwa na mshikaji wangu wa Rav 4 tulimchana vibaya sana na tukamwambia urafiki wetu usihusu issue za magari kabisa.
 
baada ya kusoma comments za wana nimekumbuka tukio moja la bwana garage mmoja ambae aliachiwa gari ya mteja airekebishe ye akatoka nayo kuoshea kdg kilichompata ni historia mpk leo
Nimekumbuka Bwn mdogo mmoja enzi za Altezza zinaingia kwa Kasi,alichukua mkopo akavuta tezza yake, siku hio Yuko anapiga maji na wenzake,kwny hao rafiki zake kuna mmoja alikua ni fundi garage akamuomba ndinga, jamaa akampa fresh mchizi akaenda kumchukua demu wake wa chuo,sijui kilitokea kitu gani lkn mwenye Gari aliona Gari yake hairudi kupiga simu haipokelewi.

Kumbe Altezza ishapiga mzinga,huyo fundi garage baada ya kupata ajali alienda geto kwake akachukua tu nguo zake chache,akamwambia jirani wa chumba chake Kwamba Kuna mshikaji anaitwa flani(jina la mwenye Altezza ameshamuuzia hivyo vitu subwoofer,tv,kitanda etc) atakuja hapo getto kuvichukua nadhani hapo alimaanisha jamaa aviuze vimsaidie kukarabati Gari yake.

Usiku huo huo Fundi alisepa Mwanza hakuna anaejua jamaa alienda wapi Ila Kuna wanaosema alirudi kwao Manyoni, Singida),yule dada aliyepata nae ajali alikutwa dispensary(alikua na michubuko kidogo) akasema mchizi alimleta pale hosp. akamuacha pale akasema anafuatilia pesa ya kumtibia/PF3(alimpiga saundi).

Ile Gari HALF CUT ilihusika.
 
Issue nyingine mimi ndo niliazimaga gari ya mahikaji wangu bila kumwambia napoenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Issue yenyewe ilikuwa hivi nilikuwa natakiwa kwenda Moro chap kuna issue nilikuwa naifuatilia. Asubuhi nikaamka fresh nikaweka Gari yangu mafuta(kipindi hicho nilikuwa naamini kila safari nayoenda gari inatakiwa iwekewe full tank[emoji23]), sasa nikawa nimepark gari kwenye parking za ofisi. Nimeshamaliza mambo ya ofisini naenda kuwasha gari niondoke gari haiwaki, nikahisi labda betri imenyonya nikabust lakini wapi. Na huku muda unaenda. Sasa kuna jamaa angu alikuwa ametoka kununua Carina Ti kwa mtu gari ilikuwa ina km 360k+ na ilikuwa haijafanyiwa service ya kumwaga oil kwa muda mrefu kiasi kwamba ilikuwa imechoka sana. Tyre zilikuwa kipara zote. Vioo kinafunguka kimoja tu. Nikamuomba funguo jamaa hakuuliza mara mbili napoenda ila alichoniambia ni kadi ya gari mahali ilipo in case nikisimamishwa na trafiki. Basi nikaenda sheri nikaweka wese la 80k huyo nikaanza safari ya kwenda Moro natokea Dom. Aisee pale ndo nilipoikubali Carina, nilikuwa nafika hadi 140. Sasa imefika saa tisa jamaa ananipigia simu nimpelekee gari anataka akamchukue mtoto shule nikamwambia nipo Moro jamaa hakuamini kama ile gari imefika Moro na hakuamini kama ingerudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nilifika salama nikampoza mshikaji hela ya kufanyia service na nikaahughulikia gari yangu,(ilikuja kuonekana compressor ilikuwa imeungua)
 
Dah ulijilipua[emoji28]
 
Mimi bana mwaka 2021 nilisemaga kuwa nataka mwaka huu nitembee na full tank, nilichokuwa nafanya natembea then najazia mafuta. Sasa nna washikaji zangu wawili mmoja ana rav 4 old model na huyu mwingine hana. Huyu ambae hana alikuwa na rafiki yake ambae sisi wawili(mimi na huyu wa rav 4) tulimjua kupitia mshikaji wetu. Sasa bana huyu mshikaji wake na mshikaji wetu hawa watu walikuwa wanakunywa sana pombe hasa hizi ngumu. Kuna siku mshikaji alimuomba jamaa mwenye rav 4 gari akafuate demu aje nae bar(mshikaji wa rav 4 alikuwa hiyo bar anaangalia game ya Arsenal). Mshikaji alivyopewa ile gari kumbe ilikuwa inachemsha lakini kwenye dashboard haionyeshi. Basi Gari ikawa imepasua block na vitu vingine. Yule mshikaji aliyeiazima hakujishughulisha kwa chochote hata kusaidia ile iende Garage tu. Tukapambana na mshikaji hadi Gari ikafika Garage na ikabidi jamaa aagize engine nyingine, hilo likapita. Sasa tumekaa kama miezi miwili jamaa akaja tena anataka gari baba ake anaumwa, akamfuata tena mshikaji wa Rav 4 jamaa akamwambia gari yake mkd wake ametoka nayo. Ikabidi aje kwangu, tukashauriana na mshikaji kama nimpe au nisimpe, ila tukaona kwa kuwa baba anaumwa acha tumpe hivyo nikampa ila nikawa nimecheki ODO pale na nikaset trip pale. Wakati nampa nikamwambia gari yangu ina full tank naomba irudi na full tank. Jamaa alizunguka km 276 halafu cha kushangaza akaweka mafuta ya 10,000/= na amerudisha Gari ina chupa za heineken kibao. Kuja kufuatilia kumbe mshikaji hakuchukua gari kwa ajili ya baba ake kuumwa bali mademu. Nili mind sana na nikamwambia ametumia mafuta yangu anirudishie ila huwezi amini hakurudisha. Nikapiga kimya. Amekaa kama wiki mbili akataka tena gari aisee nilikuwa na mshikaji wangu wa Rav 4 tulimchana vibaya sana na tukamwambia urafiki wetu usihusu issue za magari kabisa.
Watu kama hao wana Tamaa halafu hawana aibu
 
Hata mimi tabia ya kuombana magari siipendi, halafu mtu anakuazima gari, ana hela ya mafuta tu. Anajua kumiliki gari ni mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mchizi Alituazima gari Toyota Fortuner haikuwa na wese kabisa akasema ataweka...Baadae anatupigia simu anauliza mbona kaweka mafuta lakini mshale wa mafuta haupandi...kumbe aliweka wese la buku 10 afu anategemea mshale upande sjui alidhani ni passo ile[emoji23]
 
Mimi bana mwaka 2021 nilisemaga kuwa nataka mwaka huu nitembee na full tank, nilichokuwa nafanya natembea then najazia mafuta. Sasa nna washikaji zangu wawili mmoja ana rav 4 old model na huyu mwingine hana. Huyu ambae hana alikuwa na rafiki yake ambae sisi wawili(mimi na huyu wa rav 4) tulimjua kupitia mshikaji wetu. Sasa bana huyu mshikaji wake na mshikaji wetu hawa watu walikuwa wanakunywa sana pombe hasa hizi ngumu. Kuna siku mshikaji alimuomba jamaa mwenye rav 4 gari akafuate demu aje nae bar(mshikaji wa rav 4 alikuwa hiyo bar anaangalia game ya Arsenal). Mshikaji alivyopewa ile gari kumbe ilikuwa inachemsha lakini kwenye dashboard haionyeshi. Basi Gari ikawa imepasua block na vitu vingine. Yule mshikaji aliyeiazima hakujishughulisha kwa chochote hata kusaidia ile iende Garage tu. Tukapambana na mshikaji hadi Gari ikafika Garage na ikabidi jamaa aagize engine nyingine, hilo likapita. Sasa tumekaa kama miezi miwili jamaa akaja tena anataka gari baba ake anaumwa, akamfuata tena mshikaji wa Rav 4 jamaa akamwambia gari yake mkd wake ametoka nayo. Ikabidi aje kwangu, tukashauriana na mshikaji kama nimpe au nisimpe, ila tukaona kwa kuwa baba anaumwa acha tumpe hivyo nikampa ila nikawa nimecheki ODO pale na nikaset trip pale. Wakati nampa nikamwambia gari yangu ina full tank naomba irudi na full tank. Jamaa alizunguka km 276 halafu cha kushangaza akaweka mafuta ya 10,000/= na amerudisha Gari ina chupa za heineken kibao. Kuja kufuatilia kumbe mshikaji hakuchukua gari kwa ajili ya baba ake kuumwa bali mademu. Nili mind sana na nikamwambia ametumia mafuta yangu anirudishie ila huwezi amini hakurudisha. Nikapiga kimya. Amekaa kama wiki mbili akataka tena gari aisee nilikuwa na mshikaji wangu wa Rav 4 tulimchana vibaya sana na tukamwambia urafiki wetu usihusu issue za magari kabisa.
Sipendi watu wanao azima azima gari

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2017 nilifungua salon ya kiume mitaa yetu kipindi hicho hapakuwa na salon nyingine Kwa zaidi ya Mita 700 kutoka pale ambapo nafanya biashara.
Sasa ikija ishu ya kinyozi kufanya NGONO ndani ya salon na alikuwa analala Hadi asubuhi na wanawake nakumbuka biashara ilikuwa Kwa kipindi kifupi Sana cha miezi 8
Hata zile zinazosubiri kumaliziwa zikitumika kama gesti bubu ni ngumu mno kuzimalizia
 
Back
Top Bottom