Balaa na Nusu: Kenya wana Kenyans on Twitter (X) ila Tanzania imezaliwa Tanzanians on Instagram (IG). Wanashambulia kama Nyuki

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Hapa Afrika kuna watu wanafahamika kama Jeshi la Mashambulizi. Hao ukianzisha ugomvi nao huko X (Twitter) jihesabie umepoteza pambano kabla hata halijaanza. Watu hao ni Wakenya wa Twitter (X) au kwa jina Maarufu Kenyans on Twitter.

Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄

Hongereni Watanzania kwa kujitambua.

#No Reforms no Election 💪🦾✌️
 
Hiki ndicho tunachoweza

Halafu baadaye tunalalamika sisi masikini
 
Hapa Afrika kuna watu wanafahamika kama Jeshi la Mashambulizi. Hao ukianzisha ugomvi nao huko X (Twitter) jihesabie umepoteza pambano kabla hata halijaanza. Watu hao ni Wakenya wa Twitter (X) au kwa jina Maarufu Kenyans on Twitter.

Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri
 
Hapa Afrika kuna watu wanafahamika kama Jeshi la Mashambulizi. Hao ukianzisha ugomvi nao huko X (Twitter) jihesabie umepoteza pambano kabla hata halijaanza. Watu hao ni Wakenya wa Twitter (X) au kwa jina Maarufu Kenyans on Twitter.

Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄

Hongereni Watanzania kwa kujitambua.

#No Reforms no Election 💪🦾✌️
So what? Umeona biashara zimesimama au hazifanyiki kisa wanasambulia?

Watu wajinga ndio wanahangaika huko werevu wako busy kutafuta fursa.
 
Umasikini hauondolewi Kwa Instagram

Unaondolewa Kwa kuchapa kazi
Ndugu daaa unawaona watanzania mi msukule. Kwani wanaotekwa kusingiziwa makesi na kuuwawa hawapokazini?

Kila mtu anafanyakazi ndiyo maana anaishi. Nani wakulaumiwa hapo kwenye kufanya kazi? Kama maccm ndiyo makupe kabisa.

Wanapenda kupanga mambo ambayo hayatekelezeki ndiyo maana sasa wanafanyakazi ya kuteka na kuuwa raia wanapoambiwa ukweli hawatakii ukweli ili kulinda maslahi ya wachache.

Tanzania ni yetu sote hakuna mwenye mkataba wa kumiliki watu kama watumwa.

Kufa tuna kufa kuzeeka tunaenda uzeeni na tunawaachia wengine wanaendeleza gurudumu la Tanzania
 
Back
Top Bottom