Balaa na Nusu: Kenya wana Kenyans on Twitter (X) ila Tanzania imezaliwa Tanzanians on Instagram (IG). Wanashambulia kama Nyuki

Kwani wanaopinga hawatafuti fursa?

Hata kupinga uonevu na utawala wa mabavu ni werevu.
Umewahi ona nani anaetafuta fursa na ambae Yuko busy na mambo yake akawa anahangaika na ujinga ujinga.

Watu wajinga ndio hao mnawaimbisha nyimbo za no reform no Election na hawana mbele Wala nyuma ndio maana hawana Msaada wowote kwenu zaidi ya kuwafariji mumejaza nyomi 😁😁

Mpaka hapo mtakapowavitia watu wenye akili na uwezo upande wenu ndio mtaona tofauti vinginevyo ni porojo za Toka enzi za kina Mrema wa TLP.
 
Watu wajinga ndio wanahangaika huko werevu wako busy kutafuta fursa.
Kwa ivo hao wenye hizo akaunti siyo werevu? Yaani wewe na Millard Ayo nani mwerevu?

Huku kuwaza Kwa hovyo Kwa wana CCM ndiko kunatuchelewesha kusonga mbele. Hela anazopata Khaby Lame Kwa siku unadhani anapata kwa ukuli?
 
Umewahi ona nani anaetafuta fursa na ambae Yuko busy na mambo yake akawa anahangaika na ujinga ujinga.

Watu wajinga ndio hao mnawaimbisha nyimbo za no reform no Election na hawana mbele Wala nyuma ndio maana hawana Msaada wowote kwenu zaidi ya kuwafariji mumejaza nyomi 😁😁

Mpaka hapo mtakapowavitia watu wenye akili na uwezo upande wenu ndio mtaona tofauti vinginevyo ni porojo za Toka enzi za kina Mrema wa TLP.
Ujinga ni kuteka, kuua, kubaka na kulawiti watu.

Kama unaona hayo ni sawa wewe sio mjinga tu. Umeshavuka stage ya ujinga na umekuwa lipumbavu
 
Ndugu daaa unawaona watanzania mi msukule. Kwani wanaotekwa kusingiziwa makesi na kuuwawa hawapokazini?

Kila mtu anafanyakazi ndiyo maana anaishi. Nani wakulaumiwa hapo kwenye kufanya kazi? Kama maccm ndiyo makupe kabisa.

Wanapenda kupanga mambo ambayo hayatekelezeki ndiyo maana sasa wanafanyakazi ya kuteka na kuuwa raia wanapoambiwa ukweli hawatakii ukweli ili kulinda maslahi ya wachache.

Tanzania ni yetu sote hakuna mwenye mkataba wa kumiliki watu kama watumwa.

Kufa tuna kufa kuzeeka tunaenda uzeeni na tunawaachia wengine wanaendeleza gurudumu la Tanzania
Empowerment ya Mtu yoyote inaanzia kwenye nguvu ya kiuchumi

Sio siasa

Wanasiasa wa vyama vyote wanawatumia ninyi kama mtaji tu
 
Nguvu za kiuchumi zinaanza na mabadiliko ya kifikra.

Nyie mnaiba pesa za walipakodi wanakosa huduma za msingi alafu mnataka fikra zao zisipembuke ziendelee kuwa duni?
 
Ujinga ni kuteka, kuua, kubaka na kulawiti watu.

Kama unaona hayo ni sawa wewe sio mjinga tu. Umeshavuka stage ya ujinga na umekuwa lipumbavu
Hiyo ni kazi ya system,nitajie kuanzia Nyerere Hadi Magufuli nani hajawahi Teka na kufanya hayo?

Mbona wewe hujatekwa,hujauwawa na kulawitiwa?

Kwa watu wanahatarisha maslahi maana ya walio wengi ni sawa kabisa na wewe unajua kabisa ni sawa.
 
Kwa ivo hao wenye hizo akaunti siyo werevu? Yaani wewe na Millard Ayo nani mwerevu?

Huku kuwaza Kwa hovyo Kwa wana CCM ndiko kunatuchelewesha kusonga mbele. Hela anazopata Khaby Lame Kwa siku unadhani anapata kwa ukuli?
Huyo uliyemtaja anaenda kuripoti apate hela Yuko kazini,Sasa hao nyumbu mnaowaswaga huko wao wanaingiza pesa? Nani mjinga sasa hapo?

Mbona nyie mnawahadaa mnakula hela za tonetone 😬 😬
 
Hiyo ni kazi ya system,nitajie kuanzia Nyerere Hadi Magufuli nani hajawahi Teka na kufanya hayo?

Mbona wewe hujatekwa,hujauwawa na kulawitiwa?

Kwa watu wanahatarisha maslahi maana ya walio wengi ni sawa kabisa na wewe unajua kabisa ni sawa.
Wapi imeandikwa kuwa hiyo ni kazi ya system?

Kama ni kazi ya System kwa nini tuna Sheria inayokataza ubakaji na ulawiti?

Ndo mana nimekwambia wewe ni Lipumbavu. Umeshavuka kiwango cha ujinga.
 
Sasa wewe mjinga huwezi Kukua japo unajua.

Mara ngapi Chadomo mumewapiga watu na kuwaumiza ambao ni wanachama wenukiwashutumu Kwa mnachoitaga usaliti,Kwa nini hamkuwaacha?

Ndio na wale wanaohatarisha usalama na kutukana viongozi mtashughulikiwa najua unajua.
 
Jibu swali Sheria ipi inawaruhusu System kuwabaka na kuwalawiti watu?
 
Huyo uliyemtaja anaenda kuripoti apate hela Yuko kazini,Sasa hao nyumbu mnaowaswaga huko wao wanaingiza pesa? Nani mjinga sasa hapo?

Mbona nyie mnawahadaa mnakula hela za tonetone 😬 😬
Kwanza sifa ya nyumbu unaijua ? Yaani sifa mojawapo ya nyumbu ni kuona hatari halafu kuendelea kusonga mbele kuielekea hatari yenyewe.

Sifa ya pili ya nyumbu ni kuona mwenzao akishambuliwa bila ya kutoa msaada. Sasa kati ya hao na nyie nani ni nyumbu?

Watu wanaiba Hela ya umma, watu wanatekwa, watu hawataki uchaguzi huru na wa haki, halafu wewe unawashabikia, sasa huo sio unyumbu?

Ukiona mtu ana akaunti IG jua ana uwezo wa kununua bando na siyo kama nyie mnaopewa Bure na watu wa Lumumba.
 
Umeelewa swali? Au unazidi kujionesha ulivyo lipumbavu?
Wewe ndio lipumbavu na kubwa la manyumbu.

Ukijibu sherianayotumiaga kuwatandika bakora kama yule Mwenezi wenu wa Njombe basi ndio inayotumikia na kwingine 😆😆

Mimi sio hao manyumbu huko.
 
Polee sana Lipumbavu.
 
Kwanza sifa ya nyumbu unaijua ? Yaani sifa mojawapo ya nyumbu ni kuona hatari halafu kuendelea kusonga mbele kuielekea hatari yenyewe.

Sifa ya pili ya nyumbu ni kuona mwenzao akishambuliwa bila ya kutoa msaada. Sasa kati ya hao na nyie nani ni nyumbu?

Watu wanaiba Hela ya umma, watu wanatekwa, watu hawataki uchaguzi huru na wa haki, halafu wewe unawashabikia, sasa huo sio unyumbu?

Ukiona mtu ana akaunti IG jua ana uwezo wa kununua bando na siyo kama nyie mnaopewa Bure na watu wa Lumumba.
Sasa nyie nyumbu Msaada gani mnatoa mbona mnaishiaga humu jf? 😁😁

Mwisho kina nani wameiba pesa? Wataje
 
Back
Top Bottom