Nasikia Aveva ameapa hawatatoka Bongo hadi wailipe Simba USD 300,000 kama ilivyoamriwa na FIFA. Napongeza mkakati huu wa Aveva, bila shaka watalipa deni hilo.
Hao mikia hawana jipya wameua ndugu zao simba ukawa wanatangatanga tu hawana la kuongea wanaogopa mpaka kuanzisha uzi wa game yao ya leo dhidi ya kagera suger.Hizo ni hasira za kutolipwa hela za Okwi au kwa kuwa wamemtoa ndugu yake Libolo?
Hizo jezi mbona waganga wote wa kienyeji wanazo!
Hao mikia hawana jipya wameua ndugu zao simba ukawa wanatangatanga tu hawana la kuongea wanaogopa mpaka kuanzisha uzi wa game yao ya leo dhidi ya kagera suger.
Mwanzoni walitafuta uchawi kwa gharama kubwa kwa ajili ya kuiroga yanga, wakaona haitoshi sasa wanaamua kutoana uhai wao kwa wao.....Watauana sana hadi washuke daraja. Mpira umewashinda sasa wanashindana kwenye ndumba. Angalia walivyokamatana uchawi Morogoro. Wakaona haitoshi.
Nasikia Aveva ameapa hawatatoka Bongo hadi wailipe Simba USD 300,000 kama ilivyoamriwa na FIFA. Napongeza mkakati huu wa Aveva, bila shaka watalipa deni hilo.
Simba ingekuwa dola angefanikiwa lakini kwa sasa sijui atatumia sheria gani kuwalazimisha.
Hao hapo.
Mtakoma kujuta mbona.
Alafu wanavaa jezi za kiume dadadeki!!!
Yaan harufu ya mikia kushabikia yanga inanukia kumbe etoile waliwadhulumu khaa,mpira mtam
Kwa mchezo waliocheza jmosi kiukweli sijui kama kunajipya, mm simba damdam ila nawaomba waache mchezo wakipumbafu kama ulewa jmosi na watuwakirishe vyema
Rudini FIFA mkaombe 'Execution of Judgement' mtapata haki yenu vinginevyobmtabaki kulalamika tu.
Jee ulishawahi kujiuliza why waganga wa kienyeji wanazitumia sana?Hizo ni hasira za kutolipwa hela za Okwi au kwa kuwa wamemtoa ndugu yake Libolo?
Hizo jezi mbona waganga wote wa kienyeji wanazo!
Umewasahau Al-hadoud ya misri walivyokakutenda kule Alexandria??Kiboko ya mwarabu ni Simba, yanga na azam wanajua vizuri kabisa!
Hao mikia hawana jipya wameua ndugu zao simba ukawa wanatangatanga tu hawana la kuongea wanaogopa mpaka kuanzisha uzi wa game yao ya leo dhidi ya kagera suger.
We ndio mpumbavu mara 100000000000Katika wapumbavu na wewe umo!
Hao hapo.
Mtakoma kujuta mbona.
Alafu wanavaa jezi za kiume dadadeki!!!