Balaa! Yanga kwenye domo la Etoile Du Sahel

Nasikia Aveva ameapa hawatatoka Bongo hadi wailipe Simba USD 300,000 kama ilivyoamriwa na FIFA. Napongeza mkakati huu wa Aveva, bila shaka watalipa deni hilo.

Mkuu, hayo maneno anawadanganya mbumbumbu wenzie. Mambo ya FIFA hayaendi namna hiyo. Yeye arudi FIFA kudai au kama kawaida yao watakaa na viongozi timu hiyo na kupozwa.
 
Hizo ni hasira za kutolipwa hela za Okwi au kwa kuwa wamemtoa ndugu yake Libolo?
Hizo jezi mbona waganga wote wa kienyeji wanazo!
Hao mikia hawana jipya wameua ndugu zao simba ukawa wanatangatanga tu hawana la kuongea wanaogopa mpaka kuanzisha uzi wa game yao ya leo dhidi ya kagera suger.
 
Kwa mchezo waliocheza jmosi kiukweli sijui kama kunajipya, mm simba damdam ila nawaomba waache mchezo wakipumbafu kama ulewa jmosi na watuwakirishe vyema
 
Watauana sana hadi washuke daraja. Mpira umewashinda sasa wanashindana kwenye ndumba. Angalia walivyokamatana uchawi Morogoro. Wakaona haitoshi.
 
Mwanzoni walitafuta uchawi kwa gharama kubwa kwa ajili ya kuiroga yanga, wakaona haitoshi sasa wanaamua kutoana uhai wao kwa wao.....
 
Nasikia Aveva ameapa hawatatoka Bongo hadi wailipe Simba USD 300,000 kama ilivyoamriwa na FIFA. Napongeza mkakati huu wa Aveva, bila shaka watalipa deni hilo.

Simba ingekuwa dola angefanikiwa lakini kwa sasa sijui atatumia sheria gani kuwalazimisha.
 
Rudini FIFA mkaombe 'Execution of Judgement' mtapata haki yenu vinginevyo mtabaki kulalamika tu.
 
Yaan harufu ya mikia kushabikia yanga inanukia kumbe etoile waliwadhulumu khaa,mpira mtam
 
Kwa mchezo waliocheza jmosi kiukweli sijui kama kunajipya, mm simba damdam ila nawaomba waache mchezo wakipumbafu kama ulewa jmosi na watuwakirishe vyema

Kiboko ya mwarabu ni Simba, yanga na azam wanajua vizuri kabisa!
 
Hizo ni hasira za kutolipwa hela za Okwi au kwa kuwa wamemtoa ndugu yake Libolo?
Hizo jezi mbona waganga wote wa kienyeji wanazo!
Jee ulishawahi kujiuliza why waganga wa kienyeji wanazitumia sana?
Ebu tuanzie hapo kwanza.......................
 
Hao mikia hawana jipya wameua ndugu zao simba ukawa wanatangatanga tu hawana la kuongea wanaogopa mpaka kuanzisha uzi wa game yao ya leo dhidi ya kagera suger.

Katika wapumbavu na wewe umo!
 
Hao hapo.
Mtakoma kujuta mbona.
Alafu wanavaa jezi za kiume dadadeki!!!

Na Nimesikia Kuwa Kwa Sheria Mpya Ya CAF Kumbe Etoile Du Sahel Wana Ruhusa Ya Kumtumia Mchezaji Emanuel Okwi Kama Wakikubaliana Na MNYAMA Simba Sports Club Hivyo Habari Nilizozipata Punde Tu Ni Kwamba ILI Kuleta Nidhamu Hapa Mjini Uongozi Wa Klabu Bora Afrika Ya Mashariki Ya Simba Sports Club Umeamua Kuwaazima Etoile Du Sahel Mchezaji Wake Emanuel Okwi Akipige Ktk Mtanange Huo Dhidi Ya Yanga Hivyo Wanayanga Mnaweza Sasa Mkaanza Kutafuta Dawa Zenu Za Presha Kwani MSIYEMPENDA KAJA. Yanga Ikivuka Kwa Kuitoa Etoile Du Sahel Naachia Haja BIG Kariakoo Nzima!
 
Back
Top Bottom