Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Nasikia Aveva ameapa hawatatoka Bongo hadi wailipe Simba USD 300,000 kama ilivyoamriwa na FIFA. Napongeza mkakati huu wa Aveva, bila shaka watalipa deni hilo.
Mkuu, hayo maneno anawadanganya mbumbumbu wenzie. Mambo ya FIFA hayaendi namna hiyo. Yeye arudi FIFA kudai au kama kawaida yao watakaa na viongozi timu hiyo na kupozwa.