Tuandamane
JF-Expert Member
- Feb 2, 2008
- 1,221
- 55
Kwani hatuwezi kupata private investigator?
Marekani hii wakuu!
Kweli kabisa mkuu tufanye hivyo ili tuanike yote na wakose ya kusema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hatuwezi kupata private investigator?
Marekani hii wakuu!
kakindo, mtu aliyekufa hawezi kurudi nyumbani isipokuwa akibebwa kwenye jeneza..!
Kwa maana hiyo Balali hatoweza kurudi mpaka ajifilie?ahaa nimekuelewa mwanakijiji.Lakini mbona watu wa Boston hawataki kujiusisha na habari za Gavana huyu wa zamani,mie niliwahi kumchokoza dada mmoja maarufu tu katika mambo ya habari lakini akatupilia mbali habari yangu ilokua inahusu huyuhuyu,hivo najua watu mlioko Masachss.mnajua alipo fisadi huyu na ndio maana mko kimya.Ole wenu kama nanyi mnashiriki na mafisadi........
Mgaya swali gani hili?Mchafuzi kwa nini wewe usiende huko MA kujua aliko Balali kama kweli una uchungu na nchi ya Tanzania?
Mgaya swali gani hili?
Wewe kweli mjumbe wa shetwani!Nenda MA ukatafute habari za Balali na sio kuwashikia bango watanzania wa MA kuwa ni mafisadi kwa vile hawakupi habari za Balali.
Wewe kweli mjumbe wa shetwani!
Nani kasema watanzania wa MA kuwa ni mafisadi?
Mbona unajihisi?
Nimegusa maslahi?
Kwa maana hiyo Balali hatoweza kurudi mpaka ajifilie?ahaa nimekuelewa mwanakijiji.Lakini mbona watu wa Boston hawataki kujiusisha na habari za Gavana huyu wa zamani,mie niliwahi kumchokoza dada mmoja maarufu tu katika mambo ya habari lakini akatupilia mbali habari yangu ilokua inahusu huyuhuyu,hivo najua watu mlioko Masachss.mnajua alipo fisadi huyu na ndio maana mko kimya.Ole wenu kama nanyi mnashiriki na mafisadi........
Soma kilichoandikwa hapa..
Ukiwa mtu unayechukia ufisadi kiasi hiki basi unatakiwa kuwa unatafuta kujua aliko fisadi Balali na sio kutegemea watu wa MA wakutafutie na wasipofanya hivyo unawalinganisha na mafisadi.
Kwa maana hiyo Balali hatoweza kurudi mpaka ajifilie?ahaa nimekuelewa mwanakijiji.Lakini mbona watu wa Boston hawataki kujiusisha na habari za Gavana huyu wa zamani,mie niliwahi kumchokoza dada mmoja maarufu tu katika mambo ya habari lakini akatupilia mbali habari yangu ilokua inahusu huyuhuyu,hivo najua watu mlioko Masachss.mnajua alipo fisadi huyu na ndio maana mko kimya.Ole wenu kama nanyi mnashiriki na mafisadi........
Si ndio hapo jamaa yangu!Kama yuko Mass na alilazwa hospitali za uko si ni mwendo wa kutafuta records kwenye hizo hospitali....
MKJJ TRUST ME we will find out!I know what happened to Balali...! Kama hadi hivi hujagundua basi hutogundua tena.
Mwanakijiji Chukua Tano Mkuu.
Roast in Pug (RIP) Balali..... fisadi na mwizi mkubwa wewe!