Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
RushwaNamsikia hapa balile Ni mpuuz tu
Hapo kashavuta chake kirefuWakuu,
Kwenye mkutano huu wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Wahariri unaofanyika leo tar 14/07/2023 akielezea mkataba na uwekezaji wa bandari, Balile anaegemea upande wa serikali kabisa.
Akiwa anaongoza mjadala mara atoe ufafanuzi kueleza juu ya uwekezaji, mara atoe ufafanuzi juu ya DP World, yeye yupo kama moderator hayo mengine anaongea kama nani
Anawaambia wahariri serikali ikisema mkataba huu hauna shida waandishi msiende kupotosha, hapa si anatetea kabisa serikali na kuonesha wahariri wapo kwenye payrole?
Ajabu yeye anauteteta,ngoja wazee waitishe press conference wampasue tenaTena hana haya, anamchamba Dr slaa kuwa amesoma nini miaka saba lakini ameshindwa ķelewa mkataba wa bandari. Yeye amekuwa mfafanuzi mkubwa wa mkataba.
Mama Ashawahi mchana kua jamaa alikua anampigia pia simu anamlilia njaaa...huwezi ukategemea integrity kwa mtu anaweka Njaaa zake mbele.Huyo Balile muda mrefu sana alianza kuomba vocha kwa Samia, hana maana kabisa.
kwani Pascal Mayalla anasemaje ?Wakuu,
Kwenye mkutano huu wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Wahariri unaofanyika leo tar 14/07/2023 akielezea mkataba na uwekezaji wa bandari, Balile anaegemea upande wa serikali kabisa.
Akiwa anaongoza mjadala mara atoe ufafanuzi kueleza juu ya uwekezaji, mara atoe ufafanuzi juu ya DP World, yeye yupo kama moderator hayo mengine anaongea kama nani
Anawaambia wahariri Serikali ikisema mkataba huu hauna shida waandishi msiende kupotosha, hapa si anatetea kabisa Serikali na kuonesha wahariri wapo kwenye payrole?
Enzi za Kikwete walimchachafya sanaWakuu,

Kibanda ndiyo alikuwa anahoji maswali magumu.Yule Balile si Chawa wa Mama,hana lolote.Media ya Tanzania imewekwa mfukoni na Wanasiasa tofauti na wenzetu Kenya wapo professional sana lakini sisi mpaka Mpoki na Babalevo ni Watangazaji!Wakuu,
Kwenye mkutano huu wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Wahariri unaofanyika leo tar 14/07/2023 akielezea mkataba na uwekezaji wa bandari, Balile anaegemea upande wa serikali kabisa.
Akiwa anaongoza mjadala mara atoe ufafanuzi kueleza juu ya uwekezaji, mara atoe ufafanuzi juu ya DP World, yeye yupo kama moderator hayo mengine anaongea kama nani
Anawaambia wahariri Serikali ikisema mkataba huu hauna shida waandishi msiende kupotosha, hapa si anatetea kabisa Serikali na kuonesha wahariri wapo kwenye payrole?
Kwani ana sali au ana swali?elewa swali vizuri usikurupuke kujibu!Balile licha ya kuvuta mpunga pia anavizia teuzi kubwa serikalini hasa,ukurugenzi wa habari Ikulu mawasiliano au msemaji wa serikali ama katibu mkuu wizara ya habari