Balile kutetea Serikali mkutano wa Waziri Mbarawa anathibitisha bahasha zimepita kwa Waandishi wa Habari?

Leo kala za uso
Alikuwa anatia hasira sana, yaani yuko so obvious kwamba anatetea CCM mpaka anakera

Kila mara kumwambia Lissu maswali magumu naona mpaka unabadilika sura na mtu yupo kawaida tu wanamrudisha nyuma kurudia mambo yale yale makusudi tu wapate cha kusema
 
kumba kaanza siku nyingi hivi? Ndo mana leo kapewa za uso na Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…