Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78

Ingawa alikuwa dikteta ambaye wazungu walimlaumu kwa kukanyaga haki za binadamu, the fact kuwa waliendelea kumkopesha ni waziwaliona kazi iliyokuwa inafanyika na kupiga vita udokozi wa fedha za serikali.
 
Sasa miradi sini multiple ilikuwa inafanyika at once!
Kwa hiyo unaweza kopa mkopo wa kuanza kulipa baada ya miaka 2 au 3 kwa riba kubwa kugharamia mradi ambao haujulikani utaisha lini au unachukua mda mrefu kuliko kipindi cha kulipa mkopo? Una akili timamu?
 
Ndiyo maana watu wanalilia KATIBA iliyojitosheleza!!! Haya mambo yasingetokea kama Bunge letu lilikuwa sio la mazuzu.
If we had strong institutions these poor decisions that Magufuli made would have been nipped in the bud!
Kwa.upuuzi kama huu wa Jiwe ni bora tupate Katiba Ili serikali iombe kibali cha Bunge Kukopa sio kila mpuuzi anaeitwa Rais kujiamlia anavyotaka
 
Ww ndio unatakiwa uonyeshe hizi 30t ni za miradi gani, maana utawala wa Magufuli ulikuwa ni wa kupika data. Ni kweli Balile anaandika sasa kwa kuwa ni mnafiki, lakini kaandika ukweli. Hii ndio sababu Magufuli alipora uchaguzi ili bunge liwe la ccm tu wasioweza kuhoji lolote. Matokeo yake ndio hizi tozo za kihuni.
 
Haya mambo tuliyasema sana kipindi cha Magufuli, ila mkawa mnasema tumepata bonge la rais. Na ukweli bado haujawekwa hadharani, itakuwa balaa.
Kwa.upuuzi kama huu wa Jiwe ni bora tupate Katiba Ili serikali iombe kibali cha Bunge Kukopa sio kila mpuuzi anaeitwa Rais kujiamlia anavyotaka
 
Hebu rudia kusoma huu ujinga wako, nikamuuliwe kodi halafu hilo deni lisinihusu?!!!
 

Kwani Magufuli alikopa IMF? Hizi tozo ni kwa ajili ya kulipa madeni aliyokopa Magufuli.
 

Ulitaka aseme wakati huo ili ampoteze kama Azory Gwanda?
 
Kwahiyo sisi tulikuwa watoto ndio maana akawa anatudanganya?
Jamani tumieni vichwa vyenu kufikri baadala ya masaburi.
 
Taja mradi wowote uliokamilika unaozidi 2t ukiachia ndege za cash zisizo na tija. Au unadhani bado watu ni wajinga?
Mikopo yooote ya JPM tunajua ilifanya nini nakila mtanzania anaiona na iliyokamilika anaifaidi. Tunasubiri isiyokamilika kama JKN Hydro dam ikamilike mwezi ujao. (ingawa kwa huyu mama na akina January wake-nina mashaka!)
 
Haya mambo tuliyasema sana kipindi cha Magufuli, ila mkawa mnasema tumepata bonge la rais. Na ukweli bado haujawekwa hadharani, itakuwa balaa.
Sijawahi kuwa mfuasi wa Jiwe au watu wa dizaini yake.
 
Kama aliogopa kupotezwa basi angenyamaza kimya! Mbona mengine alikuwa akiandika? Shida ni kubwa hapa!

Hayo mengine aliyoandika ndio yamemfanya abaki mpaka sasa ili aandike huu ukweli. Kwa taarifa yako ukweli huu uko wazi muda wote, na tumesema sana kwamba Magufuli alikuwa anakopa bila mpangilio ili kusaka political millage. Hii ndio ilisababisha awe na kundi la watu wasiojulikana, ili kupoteza wote waliokuwa wanasema ukweli ulio kinyume na matakwa yake.
 
Hebu rudia kusoma huu ujinga wako, nikamuuliwe kodi halafu hilo deni lisinihusu?!!!
Nchi iwe na madeni au isiwe na madeni, kodi ni lazima utalipa tu.

By the way madeni haya ya Serikali wewe utakufa utayaacha. Nyerere alikufa na aliacha madeni, Mkapa naye aliacha madeni, Magufuli vivyo hivyo. Sasa wewe nani unayeumia tumbo na kupata pressure kwa deni la Taifa??????

Nonsense!!!
 
Ww ndio ulikuwa mshabiki wa utawala wa kidhalimu wa Magu, na sasa ukweli huu tuliokuwa tunaujua unawekwa hadharani. Ni kiongozi mjinga tu ataweza kuiga ule ujinga wa magu. Unasema mzungu sio mjinga,wakati huohuo huyo magu kakopa kwa hao hao wazungu tena mikopo ya hatari na kificho.
 
Deni liendane ni miradi iliyopo ni liwekwe wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…