Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78

Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78

Meko alikopa mikopo ya hovyo, fullstop!! Mikopo nafuu waliyokopa wenzie kabla yake, na anayokopa Mama sasa alinyimwa kutokana na udikteta wake uchwara!! Trl 29 kwa miaka 5, tena mikopo ya biashara, thats insane!! Huyo Meko wako ndiyo alikuwa hakopesheki mikopo nafuu
Ingawa alikuwa dikteta ambaye wazungu walimlaumu kwa kukanyaga haki za binadamu, the fact kuwa waliendelea kumkopesha ni waziwaliona kazi iliyokuwa inafanyika na kupiga vita udokozi wa fedha za serikali.
 
Sasa miradi sini multiple ilikuwa inafanyika at once!
Kwa hiyo unaweza kopa mkopo wa kuanza kulipa baada ya miaka 2 au 3 kwa riba kubwa kugharamia mradi ambao haujulikani utaisha lini au unachukua mda mrefu kuliko kipindi cha kulipa mkopo? Una akili timamu?
 
Ndiyo maana watu wanalilia KATIBA iliyojitosheleza!!! Haya mambo yasingetokea kama Bunge letu lilikuwa sio la mazuzu.
If we had strong institutions these poor decisions that Magufuli made would have been nipped in the bud!
Kwa.upuuzi kama huu wa Jiwe ni bora tupate Katiba Ili serikali iombe kibali cha Bunge Kukopa sio kila mpuuzi anaeitwa Rais kujiamlia anavyotaka
 
Ww ndio unatakiwa uonyeshe hizi 30t ni za miradi gani, maana utawala wa Magufuli ulikuwa ni wa kupika data. Ni kweli Balile anaandika sasa kwa kuwa ni mnafiki, lakini kaandika ukweli. Hii ndio sababu Magufuli alipora uchaguzi ili bunge liwe la ccm tu wasioweza kuhoji lolote. Matokeo yake ndio hizi tozo za kihuni.
na thamani ya miradi iliyotokana na deni, kama uwiano wa deni na uchumi kukua ni 30% huko kutendwa kunatokeaje?

Anzia upanuzi wa bandari, SGR, Upanuzi wa highways, mabarabara ya mitaa, stand za mabasi nchi nzima, New mwendokasi roads, vituo vya afya nchi nzima, Hospitali za wilaya nchi nzima, Mashule, Ndege, upanuzi wa viwanja, ujenzi wa Dodoma plus Ikulu ya Chamino, usambazaji umeme kila kijiji, vivutio vya utalii, Hydropower ya Nyerere na vingine vingi. Ulitegemea hela haitumiki?

Then go back angalia uwiano wa uchumi na ukuaji wa madeni! Njoo kwenye probability means of return. Angalia makusanyo per annual sio kuandika kinafiki.
 
Haya mambo tuliyasema sana kipindi cha Magufuli, ila mkawa mnasema tumepata bonge la rais. Na ukweli bado haujawekwa hadharani, itakuwa balaa.
Kwa.upuuzi kama huu wa Jiwe ni bora tupate Katiba Ili serikali iombe kibali cha Bunge Kukopa sio kila mpuuzi anaeitwa Rais kujiamlia anavyotaka
 
Mikopo aliyokopa Marehemu Magufuli inakutoaje wewe utumbo??

Kuna watu mnahangaika na vitu visivyowahusu. Mikopo ya Serikali inakunyima usingizi wewe??

Hata kama deni la taifa litafikia trillion 200 bado mimi siwezi kuugua tumbo au kukosa usingizi sababu hainihusu.

Kuna watu watasema, oooh, sijui wananchi ndiyo watabeba huo mzigo wa madeni kwa kulipa kodi kubwa. Well, well, hata kama itakuwa hivyo lakini bado ukweli unabakia pale pale, deni la taifa halituhusu sisi wananchi wa kawaida.
Hebu rudia kusoma huu ujinga wako, nikamuuliwe kodi halafu hilo deni lisinihusu?!!!
 
Toa mfano acha projo Huyo mama yenu hakopesheki ndo maana hela za UVICO zimekuwa za kudanganyia wananchi miradi uchwara!

Kwa kuona kwamba hakopesheki ameanzisha tozo ovyo ovyo! Unafikiri hao IMF&WB huwa hawajui kuwa Rais fulani ni mtendaji sio wa maneno! Hapa wanajua Mama ni Maneno sio vitendo! Ila JPM walijua ni vitendo sio maneno!

Kwani Magufuli alikopa IMF? Hizi tozo ni kwa ajili ya kulipa madeni aliyokopa Magufuli.
 
Tatizo langu ni unafiki wa huyu aliyekuja kutuambia sasa kwamba tunadaiwa na taarifa zimekuwepo muda wote huo lakini hakusema anasubiri mpaka JPM hayupo ndio anaanza kusema kwamba ooo alikopa, mbona wakati anakopa na taarifa zikawekwa kwenye tovuti ya BoT hakusema?

Ulitaka aseme wakati huo ili ampoteze kama Azory Gwanda?
 
1.Mama yako alikudanganya mara ngapi ukavae viatu anakusubiri nje na hukumkuta ulipotoka? Japo ulilia sana je, uliwahi kumsema wapi?

2.Mkopo ni mkopo na riba ndo utaratibu wake, inategemea na urgency ya hela! Ukitaka upewe hela za haraka lazma ulipe riba kubwa unless ukakope falme za kiarabu ambako hawana riba!
Kwahiyo sisi tulikuwa watoto ndio maana akawa anatudanganya?
Jamani tumieni vichwa vyenu kufikri baadala ya masaburi.
 
Taja mradi wowote uliokamilika unaozidi 2t ukiachia ndege za cash zisizo na tija. Au unadhani bado watu ni wajinga?
Mikopo yooote ya JPM tunajua ilifanya nini nakila mtanzania anaiona na iliyokamilika anaifaidi. Tunasubiri isiyokamilika kama JKN Hydro dam ikamilike mwezi ujao. (ingawa kwa huyu mama na akina January wake-nina mashaka!)
 
Kama aliogopa kupotezwa basi angenyamaza kimya! Mbona mengine alikuwa akiandika? Shida ni kubwa hapa!

Hayo mengine aliyoandika ndio yamemfanya abaki mpaka sasa ili aandike huu ukweli. Kwa taarifa yako ukweli huu uko wazi muda wote, na tumesema sana kwamba Magufuli alikuwa anakopa bila mpangilio ili kusaka political millage. Hii ndio ilisababisha awe na kundi la watu wasiojulikana, ili kupoteza wote waliokuwa wanasema ukweli ulio kinyume na matakwa yake.
 
Hebu rudia kusoma huu ujinga wako, nikamuuliwe kodi halafu hilo deni lisinihusu?!!!
Nchi iwe na madeni au isiwe na madeni, kodi ni lazima utalipa tu.

By the way madeni haya ya Serikali wewe utakufa utayaacha. Nyerere alikufa na aliacha madeni, Mkapa naye aliacha madeni, Magufuli vivyo hivyo. Sasa wewe nani unayeumia tumbo na kupata pressure kwa deni la Taifa??????

Nonsense!!!
 
Zuzu mwingine (in Assad voice).

Hivi unadhani mabeberu ata kwa kupitia private banks yanakopesha nchi maskini bila ya IMF na WB kufanya stress test kama unaweza kulipa madeni yako huko mbele based on your tax collections.

Embu fuatilia sakata la ‘Credit Suisse’ linaloendelea wamelimwa fine ya $475 million na kulazimishwa kufuta deni $200 million walilokopesha taasisi ya serikali msumbiji; yote kwa sababu huo mkopo ulitolewa kwa swirl bila ya kuwaambia IMF na WD.

Mozambique wameshindwa kulipa madeni yao mengine jamaa donors wamewaka watalipa wao ‘Credit Suisse’ waliotengeneza madeni ya nyongeza nchi maskini bila ya ridhaa yao.

Unadhani mzungu mjinga, JK na Mkapa sio kwamba walikua awataki kukopa, sema walikuwa awakopesheki na hela ilikuwa aifanyi kazi iliyokopewa.

Wenye akili timamu walijua IMF na WD watatia nanga soon, ‘mama’ kujifanya anaenda na utaratibu wake; ameshaonywa na watu wengi sana kaa mbali na JK, rudi njia ya Magufuli hataki na bado.
Ww ndio ulikuwa mshabiki wa utawala wa kidhalimu wa Magu, na sasa ukweli huu tuliokuwa tunaujua unawekwa hadharani. Ni kiongozi mjinga tu ataweza kuiga ule ujinga wa magu. Unasema mzungu sio mjinga,wakati huohuo huyo magu kakopa kwa hao hao wazungu tena mikopo ya hatari na kificho.
 
Deni liendane ni miradi iliyopo ni liwekwe wazi.
Nchi iwe na madeni au isiwe na madeni, kodi ni lazima utalipa tu.

By the way madeni haya ya Serikali wewe utakufa utayaacha. Nyerere alikufa na aliacha madeni, Mkapa naye aliacha madeni, Magufuli vivyo hivyo. Sasa wewe nani unayeumia tumbo na kupata pressure kwa deni la Taifa??????

Nonsense!!!
 
Back
Top Bottom